BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Mama mchungaji za jioniTunakushukuru sana kwa kujitoa kwetu Mungu akubariki
Au yuko porinishedede hajaingia toka jana
Poa shemela za wwNiaje shemela
pole sanaShemela umeme umeme, ila nimeishaonana naye
Hahaha sijacheka toka asubuhihuyo shemeji yako pia yaan humu wanaume wote ni shemeji zako
Shunie atakutambulisha taratibu tuNashukuru naendlea kuwafahamu
Kuna kapuku huko Zanzibar? Ujumbe mzito laivu kutoka Koromije waja kutalii huko tena kwa kutumia ule usafiri maarufu kabisa huku kanda ya ziwa![]()
![]()

Shunie amesema hakuna mvua wapi?Pole shunie kaniambia hamna mvua
HakikaZABURI 9
9.BWANA atakuwa ngome kwake aliyeonewa,naam ngome kwa wakatibwa shida.
MATHAYO 11
28.Njooni kwangu ninyi nyote msumbukao na kuelemewa na mizigo,nami nitawapumzisha
MPE YESU MIZIGO YOTE UTAPUMZIKA
Man sita niajeKama nakuona vile shem wane
All the time God is good
Eeenh hapo sawahaya nimekuelewa, ntaweka kwa udhamini wa shunii
Chuo cha BibleSihitaji kwa sasa, bado nipo masomoni
All the time God is good
hahhahah porini kaenda kufanya nnAu yuko porini
Tulibhakafu utwa ukwoMwagona kaka mwalamusha
SawaTanzagiza naelewa mkuu
hahahah jichekee mama mchuchu maisha yenyewe mafupi mama yanguHahaha sijacheka toka asubuhi