Makapuku Forum

Makapuku Forum

a273e9a0007ce544bef1c4841a576711.jpg
Kwa udhamini wa SHIMBA YA BUYENZE nimefikia tamati kwa leo.

Tukutane kwenye ratiba ya michezo
Asante sana mkuu. Maarifa hayana mwisho na asante kwa kutuelimisha!
 
Watoto wanaonyonya vidole huwa ni wapole sana utotoni unaweza mlaza njaa maana wanajifariji sana,nina mtoto mmoja alinyonya vidole na mjukuu mmoja ananyonya ni wa kuwafuatilia sana kuhusu kula,kumbadilisha na kumpa faraja unaweza chukulia kashiba kumbe anajipa faraja na kunyonya.

Kumbe hata tembo...Mungu ni mkubwa


All the time God is good
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom