Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,223
- 39,928
ThafiMorning magazeti yatawajia hivi punde naona shemela wangu kakamatika na majukumu
ThafiMorning magazeti yatawajia hivi punde naona shemela wangu kakamatika na majukumu
Shedede anapata mke hivi hivi dah! I can't believe this!husna subili nikuweke kwa shedede uliringa mwenyewe kujifanya upo busy na mondray mwache tumosa na shululu wake
Kumbe1996 - Nnamdi Azikiwe anafariki Dunia.
Ni Rais wa kwanza wa Nigeria.
Kwa heshina yake, kuna mtaa hapa Dar Es Salaam umepewa jina lake kama kumuenzi, mtaa wa Azikiwe.
Shukrani mkuu Mussolin5Leo katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Achana nae huyo asikuchosheNakushtaki kwa masheji Nyagei na Werrason
Shukrani mkuu Bitoz kwa picha mujarabu![]()
![]()
.
.
.
.shukrani mkuu kwa historia
Tukutane jioni
.........
Ndio Arsenal 66Atakuwa amemshusha Manyau mtaa wa sita!!!
Shedede anapata mke hivi hivi dah! I can't believe this!



tatizo msukuma unachaguaSiwalaumu Marastafari wenzake kumpachika cheo cha unabii katika dini yao. Alikuwa na falsafa nzito sana kuhusu maisha, nafasi ya binadamu hapa duniani, migongano ya kitabaka, ubaguzi na mengineyo mengi. Ukizisikiliza nyimbo zake kwa uangalifu utagundua kwamba alikuwa na ujumbe mzito sana na aliweza kuuwasilisha kwa ustadi wa ajabu.![]()
![]()
![]()
Kansa yake ilisababishwa na kidole cha mguuni alichoumia wakati akicheza soka
Madaktari walimshauri akubali kufanyiwa operesheni kukiondoa lakini akakataa kutokana na Imani yake ya Urastafarah matokeo yake kansa ikasambaa na kusababisha kifo chake
"I'll shoot a tariff"
.........
Aseno amebakisha mechi 3?Ndio Arsenal 66
Na United 65
All the time God is good
Haveva => have aMorning sir,haveva wonderful and Blessed day![]()
Shikamoo mama mchungajiBwana Yesu asifiwe mpendwa,Namwomba Mungu akusaidie mpendwa![]()
Analewa sifaYuko wapi nowadays.....Kwanini mchezaji akifananishwa na nguli flani huwa anapotea???
Enzi za mambo hayoSingle Mtambalike?
sante shem wangeShukrani Mr and Mrs lee empire kwa Magazeti
Muwe na siku njema
All the time God is good
Indi mkomu ulya mbatata nu lukamaNalembuka kalumbu gwaga mukomu