Makapuku Forum

Makapuku Forum

1960 - Huko Argentina: Makachero wanne wa Shirika la Upelelezi la Mossad la nchini Israel wanamkamata Luteni Kanali Adolf Eichman wa Jeshi la Nazi la Kijerumani aliyekuwa anaishi mafichoni huku akitumia jina la Ricardo Klement.

Adolf Eichman ni mmoja ua makamanda katika jeshi la Nazi la Hitler lililohusika na Mauaji ya Maelfu ya Wayahudi.

Eichman alienda kunyongwa kama hukumu baada ya kupatikana na hatia.
RIP Luteni Kanali Adolf Eichman
 
1984 - Andres Iniesta anazaliwa.

Kiungo mshambuliaji Barcelona na timu ya taifa ya Spain.

Mmoja kati ya viungo bora kabisa kuwahi kutokea katika uso wa Dunia. Kombinesheni yake na Xavi Hernandez ilikuwa ya kusisimua na iliyowaacha wapinzani wasijue wamkabe yupi wamuache yupi.

Ni mfungaji wa goli pekee lililoipa Spain kombe la Dunia mwaka 2010 pale Afrika ya Kusini.

Ni mmoja kati ya wachezaji wachache duniani ambao wameshinda kila kombe kwa ngazi ya vilabi na timu ya taifa.
1ca37b4de48d75c0056ae00e5f927feb.jpg
b3c098ffb79dbd97f9463c32d792d237.jpg
c512299aaf54e987d19cdfbcd09145c1.jpg

Ni mtaalamu Wa kukusanya kijiji kizima
Siku makali yake yamepungua
......
 
1981 - Mwanamuziki mashuhuri wa Regge na Mwanaharakati kutoka Jamaica, Robert Nesta ' Bob ' Marley anafariki Dunia.

Mmoja kati ya watu maarufu katika karne ya 20.

Alifariki kutokana na kansa. Aliacha watoto 13 kutoka kwa mama watatu.

Alizikwa kitaifa siku 10 baadae huko Kingston, Jamaica.

Alifariki akiwa na miaka 36, na kuwa mmoja kati ya watu maarufu kufariki kabla ya kufikisha miaka 50.

Pamoja na kwamba leo ni miaka 36 toka afariki lakini bado amebakia kuwa maarufu utadhani amefariki mwaka jana.
RIP Robert Nesta Marley BOB Marley hakika hausauliki uko mioyoni mwa wengi
 
1986 - Abou Diaby anazaliwa.

Kiungo wa zamani wa Arsenal na timu ya taifa ya Ufaransa.

Alitabiriwa kama Patrick Vieira mpya wa Arsenal lakini alishindwa kufikia malengo yake kutokana na majeruhi kibao yaliyomuandama.
e88bbf9648e04519dcb5e7e972bbbf12.jpg
5e60ffff6b3b17b8ce413f16ed30f427.jpg
3d5c819bcf8d55153674f5eae08155c3.jpg

Nafikiri mpira wake mwingi ameuchezea hospitalini maana ni miongoni mwa wachejazi ambao ni mabingwa wa kutumia hata kwa matukio ya kawaida tu
Mwingine ni Jack Wilshere
..........
 
1989 - Giovani Dos Santos anazaliwa.

Winga wa zamani wa Barcelona, Toylttenham, Villareal ambaye kwa sasa anachezea LA Galaxy na timu ya taifa ya Mexico.

Mmoja kati ya wachezaji wenye vipaji maridhawa kutoka Akademi ya La Masia ya Barcelona.

Mpaka leo wachambuzi wa soka wanashindwa kujua ni kwanini Dos Santos alipotea kwenye soka mapema sana licha ya kipaji cha hali ya juu alichobarikiwa.
d02c84e05a77f51e1b5bda81d905f4de.jpg
e5a0e606f5772f5b158414cbd5cb220e.jpg
05525ea0c7b58935de9468f21207988f.jpg

Nafikiri angekuwa ni Mhuspaniola angevumiliwa tu kama Sergio Bosquets ambaye ni kiungo garasa tu
....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom