Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,226
- 68,242
Pamoja mkuu![]()
![]()
.
.
.
.shukrani mkuu kwa historia
Tukutane jioni
.........
Pamoja mkuu![]()
![]()
.
.
.
.shukrani mkuu kwa historia
Tukutane jioni
.........
morning!Goodmorning family
morning!Goodmorning family
asante sana mkuu Mussolin5Leo katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Za kwangu nzuri, nashukuru kwa kuuliza. Uwe na wakati mzuri siku nzima ya leo
asante nawe pia mkuu
Haya basi nimebwaga manyanga. Ye yote tu atafaa ila mtafutie kwanza Shedede. Ukimalizana naye basi ndo uanze kumhangaikia Msukuma wako mbishi...![]()






Ishi na watu kwa wema utafurahia muziki
Najua tumekuwa na wakti mzuri na tunapoenda kuimaliza Jumatano hii basi kama kawaida Makapuku nawakaribisha katika ka-kipengele haka ka ala za muziki na hasa tukijikita katika udonoaji na wadonoaji wa gitaa.
Kwa wapenzi wa muziki wa dansi miaka 20 nyuma, na wanaofuatilia miziki ya bakulutu, bendi ya Maquis Original ni bendi yenye umaarufu mkubwa hapa nchini ikiundwa na wanamuziki wengi toka Kongo na mmoja wao ni mpiga gitaa maarufu Dekula Kahanga almaarufu Vumbi. Mitindo kama Zembwela na Sendema haiwezi kukutoka kiurahisi.
Sikiza vibao cha Ngalula, Mayanga, Makumbele, Karubandika na vingine vingi katika mitindo ya Sendemaa na Zembwela. Gitaa utakalosikia linamuongoza muimbaji awe ni Tshimanga Assossa au Kasaloo basi ni la nguli Dekula Kahanga.
Bado yupo na anafanya muziki wake nchini Sweden akiwa na band yake ya Dekula Band.
Hapa nakuwekea baadhi ya nyimbo alizoweza kuzicharaza na kuzifanya zikavutia zaidi.
FYI: Upigaji wake mzuri umechangiwa zaidi na kufuatisha mipigo ya Nguza Viking (yupo jela sasa akitumikia adhabu ya maisha gerezani)
Dekula anaamini katika kuishi vizuri na watu, kwani huwezi kujua maisha yatakupeleka wapi.
hapa najiuliza nikuache na Ngalula au nitupie clip ya YouTube ambayo anacharaza baadhi ya nyimbo zake, isiwe ishu, nakuacha na zote mbili, suala la kukumalizia MB zako mpenzi msomaji liko nje ya uwezo wangu (joke)
mwili unaanza kukataa sikuizi lakin huyo mjamaa ni noma kweli kweli![]()
![]()
![]()
Ni mtaalamu Wa kukusanya kijiji kizima
Siku makali yake yamepungua
......
NayasubiriMorning magazeti yatawajia hivi punde naona shemela wangu kakamatika na majukumu
hahhahah binamu ww eti mb zipo nje ya uwezo wako
asante nawe pia mkuu
Morning magazeti yatawajia hivi punde naona shemela wangu kakamatika na majukumu
Ok dear....heh, nishakuwa mkuu tena? 😱 mi tangu sakata la vyeti feki niliukataa umkuu, nikaukataa utaasisi na niliponunua saa mpya (wiki mbili zimepita sasa na wiki jana mjombaangu lee empire akaniletea simu ya tachi nikajiita Jorowe), ukiona hizi prefixing zinasumbua niite 'dear'

Hongera sanasana...vipi ulijaribu gitaa la bass? Hili huwa ni rahisi kwani lina nyuzi nne tu na halkihitaji mbwembwe sana.
Mwenyewe nilisarnda la nyuzi sita ikabidi nijifunze kupiga ngoma tu