Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
anatapa tapa mm nyakunyaku siwapendi aliringa mwenyewe nampa shedede atulieNakushtaki kwa masheji Nyagei na Werrason
anatapa tapa mm nyakunyaku siwapendi aliringa mwenyewe nampa shedede atulieNakushtaki kwa masheji Nyagei na Werrason
R.I.P. Robert Nesta Marley1981 - Mwanamuziki mashuhuri wa Regge na Mwanaharakati kutoka Jamaica, Robert Nesta ' Bob ' Marley anafariki Dunia.
Mmoja kati ya watu maarufu katika karne ya 20.
Alifariki kutokana na kansa. Aliacha watoto 13 kutoka kwa mama watatu.
Alizikwa kitaifa siku 10 baadae huko Kingston, Jamaica.
Alifariki akiwa na miaka 36, na kuwa mmoja kati ya watu maarufu kufariki kabla ya kufikisha miaka 50.
Pamoja na kwamba leo ni miaka 36 toka afariki lakini bado amebakia kuwa maarufu utadhani amefariki mwaka jana.
sio ww peke ako wote tu![]()
![]()
kuuumbe!!!! Sikujua kuwa jina LA ule mtaa ni LA rais
Mama mchuchu shikamoo umeamkaje mama anguAsnte mkuu Bitoz kwa picha za historia ubarikiwe
1996 - Nnamdi Azikiwe anafariki Dunia.
Ni Rais wa kwanza wa Nigeria.
Kwa heshina yake, kuna mtaa hapa Dar Es Salaam umepewa jina lake kama kumuenzi, mtaa wa Azikiwe.

Pole yake masikini![]()
![]()
![]()
Nafikiri mpira wake mwingi ameuchezea hospitalini maana ni miongoni mwa wachejazi ambao ni mabingwa wa kutumia hata kwa matukio ya kawaida tu
Mwingine ni Jack Wilshere
..........
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
magazeti yamewajia kwa udhamini mkubwa wa mr & mrs lee empire
mbarikiwe sana muwe na asbh iliyo njema kwenu

mornie to u baba mchuchuGoodmorning family
Huyu si alitekwa!!!![]()
![]()
![]()
Bora hata Joseph Goebbels akiamua kujiua baada ya kuzingirwa kuliko kuaibishwa na kutundikwa kama paka
...
..
Bitoz asante kwa picha za historia ubarikiwe![]()
![]()
.
.
.
.shukrani mkuu kwa historia
Tukutane jioni
.........
Single Mtambalike?Mi ni Wa single
Bora aniachie Shululu wanguanatapa tapa mm nyakunyaku siwapendi aliringa mwenyewe nampa shedede atulie
Manyau ndio naniAtakuwa amemshusha Manyau mtaa wa sita!!!
Merci Mussolin5Leo katika Historia:
Niwatakie siku njema.
...hizi lugha zapicha/emoji naona unazipenda sana nakuna mtu kaanza kuzipenda pia



ameshamfundisha mama mchuchu si mwili mmoja binamu
nimeamka salama sana hofu kwako tu binamuHa hahhahah, umeamka salama lakini auntie yangu wa nguvu
Huyu sio Kabisa!!!.....alitaka ndoa za jinsia moja!!!Hongera David Cameron
....heh, nishakuwa mkuu tena? 😱 mi tangu sakata la vyeti feki niliukataa umkuu, nikaukataa utaasisi na niliponunua saa mpya (wiki mbili zimepita sasa na wiki jana mjombaangu lee empire akaniletea simu ya tachi nikajiita Jorowe), ukiona hizi prefixing zinasumbua niite 'dear'




