BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
UbarikiweAmen mtumishi mwema. Damu kombozi ya Yesu ikawe kinga yako wewe pamoja na wapendwa wako!
Hata mimi nalala...
UbarikiweAmen mtumishi mwema. Damu kombozi ya Yesu ikawe kinga yako wewe pamoja na wapendwa wako!
Hata mimi nalala...
Unaonaje nawe nikianza kukushauri uvianzishie diet hivyo vimbaumbau vyako ili angalau vijazie nyama nyama kidogo? Katika jamii nyingi za Kiafrika mafupa tupu ni dalili ya ubovu wa afya ati!Email nitatuma kwako kisha wewe una-apply nae maisha yanaenda.
Uzungu ulipita kushoto
Vimbau mbau ndio interest yangu nawe mizigo ya haja ndio interest yako basi sawa
Shangazi huogopi kutongozwa?Maeneo yangu ya kujidai hay mjomba
Dada gwalembuka?Hbr ya asubuhi wapendwa hope mmeamka poa,shululu where are u!
Nalembuka kalumbu gwaga mukomuDada gwalembuka?
GwajaNalembuka kalumbu gwaga mukomu
Leo Katika Historia:
1858 - Minnesota yawa jimbo la 32 nchini Marekani.