Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
NilimkatAa wapi?! Acha kunisingiziapovu vipiiiii mwache tumosa wa shululu si ulimkataa ww
Shululu come on baby
NilimkatAa wapi?! Acha kunisingiziapovu vipiiiii mwache tumosa wa shululu si ulimkataa ww
husna tulia nikutaftie shemela wangu mwingine shululu ameshachukuliwa sawa mpnz

Umeamka eeeeh,endlea kukaa bench niachie shululu wangu
NilimkatAa wapi?! Acha kunisingizia
Shululu come on baby
1960 - Huko Argentina: Makachero wanne wa Shirika la Upelelezi la Mossad la nchini Israel wanamkamata Luteni Kanali Adolf Eichman wa Jeshi la Nazi la Kijerumani aliyekuwa anaishi mafichoni huku akitumia jina la Ricardo Klement.
Adolf Eichman ni mmoja ua makamanda katika jeshi la Nazi la Hitler lililohusika na Mauaji ya Maelfu ya Wayahudi.
Eichman alienda kunyongwa kama hukumu baada ya kupatikana na hatia.
Mi ni Wa singleWe ni wanan?
Wa galilayaHuyu huyu wa Nazareth au mwingine?♂️
♂️
♂️
♂️
1985 - Moto unatokea katika uwanja wa soka wa klabi ya Bradford City wakati wa mechi yao dhidi ya Lincoln City ambapo mashabiki 56 wanapoteza maisha.
RIP mashabiki waliopoteza maisha katika uwanja huu kwa moto1985 - Moto unatokea katika uwanja wa soka wa klabi ya Bradford City wakati wa mechi yao dhidi ya Lincoln City ambapo mashabiki 56 wanapoteza maisha.

Hongera David Cameron2010 - David Cameron anachaguliwa kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza.
HBD Andres Iniesta1984 - Andres Iniesta anazaliwa.
Kiungo mshambuliaji Barcelona na timu ya taifa ya Spain.
Mmoja kati ya viungo bora kabisa kuwahi kutokea katika uso wa Dunia. Kombinesheni yake na Xavi Hernandez ilikuwa ya kusisimua na iliyowaacha wapinzani wasijue wamkabe yupi wamuache yupi.
Ni mfungaji wa goli pekee lililoipa Spain kombe la Dunia mwaka 2010 pale Afrika ya Kusini.
Ni mmoja kati ya wachezaji wachache duniani ambao wameshinda kila kombe kwa ngazi ya vilabi na timu ya taifa.
Sikuachii nimesemaUmeamka eeeeh,endlea kukaa bench niachie shululu wangu
HBD Abou Diaby1986 - Abou Diaby anazaliwa.
Kiungo wa zamani wa Arsenal na timu ya taifa ya Ufaransa.
Alitabiriwa kama Patrick Vieira mpya wa Arsenal lakini alishindwa kufikia malengo yake kutokana na majeruhi kibao yaliyomuandama.
HBD Giavon Dos Santos1989 - Giovani Dos Santos anazaliwa.
Winga wa zamani wa Barcelona, Toylttenham, Villareal ambaye kwa sasa anachezea LA Galaxy na timu ya taifa ya Mexico.
Mmoja kati ya wachezaji wenye vipaji maridhawa kutoka Akademi ya La Masia ya Barcelona.
Mpaka leo wachambuzi wa soka wanashindwa kujua ni kwanini Dos Santos alipotea kwenye soka mapema sana licha ya kipaji cha hali ya juu alichobarikiwa.
HBD Thibaut Courtois1992 - Thibaut Courtois anazaliwa.
Kipa namba 1 wa Chelsea na timu ya taifa ya Ubelgiji.
Shikamoo mama MchungajiRIP mashabiki waliopoteza maisha katika uwanja huu kwa moto![]()
Siku nyingi sana ,kulikua na maslahi1949 - Israel yajiunga Umoja wa Mataifa.