Makapuku Forum

Makapuku Forum

1986 - Abou Diaby anazaliwa.

Kiungo wa zamani wa Arsenal na timu ya taifa ya Ufaransa.

Alitabiriwa kama Patrick Vieira mpya wa Arsenal lakini alishindwa kufikia malengo yake kutokana na majeruhi kibao yaliyomuandama.
Yuko wapi nowadays.....Kwanini mchezaji akifananishwa na nguli flani huwa anapotea???
 
7b57da4a75a912fa00cac9b5ae41120d.jpg
92d587c653c7736b94cee5a65f3ecacd.jpg
a67ad66366cee1213c9cf2d374184b55.jpg

Kansa yake ilisababishwa na kidole cha mguuni alichoumia wakati akicheza soka
Madaktari walimshauri akubali kufanyiwa operesheni kukiondoa lakini akakataa kutokana na Imani yake ya Urastafarah matokeo yake kansa ikasambaa na kusababisha kifo chake
"I'll shoot a tariff"
.........
Aisee masikini Marley R.i.p
 
Unaonaje nawe nikianza kukushauri uvianzishie diet hivyo vimbaumbau vyako ili angalau vijazie nyama nyama kidogo? Katika jamii nyingi za Kiafrika mafupa tupu ni dalili ya ubovu wa afya ati!

Good night mkuu. Mungu Akipenda basi tusemeshane kesho. Ubarikiwe!
Natumai umeamka salama mkuu from call me Jay

Habari ya uzima.?

All the time God is good
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom