BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Kansa mbaya sana,Mungu amuweke mahali pema
Kansa yake ilisababishwa na kidole cha mguuni alichoumia wakati akicheza soka
Madaktari walimshauri akubali kufanyiwa operesheni kukiondoa lakini akakataa kutokana na Imani yake ya Urastafarah matokeo yake kansa ikasambaa na kusababisha kifo chake
"I'll shoot a tariff"
.........
Morning sir,haveva wonderful and Blessed dayGoodmorning family
Bwana Yesu asifiwe mpendwa,Namwomba Mungu akusaidie mpendwaBwana apewe sifa
Naomba maombi mamii
magazeti yamewajia kwa udhamini mkubwa wa mr & mrs lee empire
mbarikiwe sana muwe na asbh iliyo njema kwenu
Somo Kubwa.....thanks ShimbaMama Mchungaji. Umegusia Falsafa kabisa ya maisha yangu. Kwa vile nimeshafanikiwa kuacha kunywa pombe sasa bajeti yangu ina nidhamu sana. Lile fungu la 10 mimi hulitumia katika kusaidia wenzangu wenye shida moja kwa moja.
Ukienda huko mahospitalini ndo utaona bahati uliyonayo kwamba ungali na afya. Kuna binadamu huko wana magonjwa sugu na wengine wameshakata tamaa. Wengine ni masikini kabisa na wameshatelekezwa na familia zao. Wako huko mahospitalini wanasubiri kufa. Hawa hata ukimpa elfu moja unamuona anatoa machozi. Ukimpelekea matunda, sabuni, blanketi na hata mafuta ya kujipaka tu anakuona kama malaika. Na cha muhimu zaidi ni maongezi na upendo wa kibinadamu. Kuonyesha kuwa unawajali. Kuwapa matumaini kuwa Mungu bado Anawapenda. Kwamba waweke matumaini katika Yeye Aliyewafia. Kwamba kila kitu kitakuwa sawa.
Ninayo mifano mingi ya watu hawa na kusema kweli ndiyo wamebadilisha mtazamo wangu kuhusu maisha. Kuwasaidia hawa wenye shida kusema kweli ndiyo dini ya kweli.
Halafu mwalimu wangu mmoja hapa alitusisitiza sana kuwa kila siku angalau tufanye tendo moja jema kwa mtu mwingine - random act of kindness. Hii yaweza kuwa maneno ya kutia moyo, kusali pamoja na/au pesa kidogo. Mfano upo kwenye daladala na nyuma yako amekaa bibi kizee. Basi unamlipia nauli kwa siri. Na akifikiwa konda akimwambia bibi wewe nauli yako kuna mtu huko mbele kakulipia. Kitendo kidogo hiki lakini kinaweza kubadilisha siku ya mtu kabisa. Siku moja pale posta mpya kwenye matope mzee mmoja akakatikiwa na kandambili zake. Kwa pembeni pale kulikuwa na machinga anauza open shoes za ngozi. Basi nikamwambia mzee yule achague open shoes za ngozi imara. Alipigwa na butwaa na hakuamini mpaka akaanza kulia. Alichagua viatu imara, mimi nikamlipa yule mmachinga nikaondoka zangu. Ni matendo madogo madogo kama haya yanayotendwa kwa moyo mweupe bila kutegemea malipo wala fadhila ndiyo yanaweza kuuonyesha upendo wa Mungu kwa binadamu wenzetu. Na kupitia kwayo ndiyo tunaweza kupata ridhiko la kweli na thamani halisi ya maisha yetu. Asante sana mama Mchungaji kwa kutukumbusha wajibu huu mtakatifu. Mungu na Atusaidie tupunguze ubinafsi na kiburi cha kibinadamu. Good night!
Inaonekana uko makini sana katika kukosoa miili ya watu. It seems you are physically perfect Mr. Nyagei
Ni binti tu mjasiriamali na ana duka lake la nguo mtandaoni. Kuna picha amevaa bikini anauza. Kama ni toy kusema kweli sijui ila ni kibonge wa wastani mweupe na mrembo ajabu (at least kwangu). Ni mwanamke aliyekamilika. Mwanamke wa ndoto zangu. Shunie njoo unisaidie kumtetea huyu binti huku...
Morning mke mweeeMorning magazeti yatawajia hivi punde naona shemela wangu kakamatika na majukumu
happy birthday Andres iniesta1984 - Andres Iniesta anazaliwa.
Kiungo mshambuliaji Barcelona na timu ya taifa ya Spain.
Mmoja kati ya viungo bora kabisa kuwahi kutokea katika uso wa Dunia. Kombinesheni yake na Xavi Hernandez ilikuwa ya kusisimua na iliyowaacha wapinzani wasijue wamkabe yupi wamuache yupi.
Ni mfungaji wa goli pekee lililoipa Spain kombe la Dunia mwaka 2010 pale Afrika ya Kusini.
Ni mmoja kati ya wachezaji wachache duniani ambao wameshinda kila kombe kwa ngazi ya vilabi na timu ya taifa.
happy birthday abou1986 - Abou Diaby anazaliwa.
Kiungo wa zamani wa Arsenal na timu ya taifa ya Ufaransa.
Alitabiriwa kama Patrick Vieira mpya wa Arsenal lakini alishindwa kufikia malengo yake kutokana na majeruhi kibao yaliyomuandama.
husna subili nikuweke kwa shedede uliringa mwenyewe kujifanya upo busy na mondray mwache tumosa na shululu wakeNilimkatAa wapi?! Acha kunisingizia
Shululu come on baby
R.i.p Bob marley1981 - Mwanamuziki mashuhuri wa Regge na Mwanaharakati kutoka Jamaica, Robert Nesta ' Bob ' Marley anafariki Dunia.
Mmoja kati ya watu maarufu katika karne ya 20.
Alifariki kutokana na kansa. Aliacha watoto 13 kutoka kwa mama watatu.
Alizikwa kitaifa siku 10 baadae huko Kingston, Jamaica.
Alifariki akiwa na miaka 36, na kuwa mmoja kati ya watu maarufu kufariki kabla ya kufikisha miaka 50.
Pamoja na kwamba leo ni miaka 36 toka afariki lakini bado amebakia kuwa maarufu utadhani amefariki mwaka jana.
Safi sanaUmeamka eeeeh,endlea kukaa bench niachie shululu wangu
Aisee nilikua sijui historia ya Azikiwe street1996 - Nnamdi Azikiwe anafariki Dunia.
Ni Rais wa kwanza wa Nigeria.
Kwa heshina yake, kuna mtaa hapa Dar Es Salaam umepewa jina lake kama kumuenzi, mtaa wa Azikiwe.
Happybirthday Iniesta1984 - Andres Iniesta anazaliwa.
Kiungo mshambuliaji Barcelona na timu ya taifa ya Spain.
Mmoja kati ya viungo bora kabisa kuwahi kutokea katika uso wa Dunia. Kombinesheni yake na Xavi Hernandez ilikuwa ya kusisimua na iliyowaacha wapinzani wasijue wamkabe yupi wamuache yupi.
Ni mfungaji wa goli pekee lililoipa Spain kombe la Dunia mwaka 2010 pale Afrika ya Kusini.
Ni mmoja kati ya wachezaji wachache duniani ambao wameshinda kila kombe kwa ngazi ya vilabi na timu ya taifa.
Salama ubarikiweHbr ya asubuhi wapendwa hope mmeamka poa,shululu where are u!
We ni wa shededeMi ni Wa single
Aiseee
Ni bahati mbaya au hujuma?
......
Shukrani Mussolin kwa historiaLeo katika Historia:
Niwatakie siku njema.
acha ugomvi wanawake hatupo hivyoSikuachii nimesema