Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,379
Inaonekana uko makini sana katika kukosoa miili ya watu. It seems you are physically perfect Mr. NyageiHuo ni mwili wake kweli mbona kama kajazwa jazwa as a toy?



Ni binti tu mjasiriamali na ana duka lake la nguo mtandaoni. Kuna picha amevaa bikini anauza. Kama ni toy kusema kweli sijui ila ni kibonge wa wastani mweupe na mrembo ajabu (at least kwangu). Ni mwanamke aliyekamilika. Mwanamke wa ndoto zangu. Shunie njoo unisaidie kumtetea huyu binti huku...

ZABURI 4
