shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Asante musolini kwa leo katika historia bora kabisaLeo katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Asante musolini kwa leo katika historia bora kabisaLeo katika Historia:
Niwatakie siku njema.
1884 - Harry S. Truman anazaliwa.
Alikuwa Rais wa 33 wa Marekani.
Ndiye Rais aliyeidhinisha kudondosha bomu la Nyuklia huko katika miji ya Nagasaki na Hiroshima.
Hiyo ni siku chache mara baada ya kukabidhiwa Urais kufuatia kifo cha Rais Roosevelt.
Rais Harry S. Truman, ni moja kati ya marais wenye vituko vya aina yake kwani ile initial S iliyopo katika jina lake haina maana yoyote ipo kama swaga tu.
Mpaka sasa ni waziri wa ulinzi![]()
Nakutakia maisha marefu Mzee Mwingi![]()
Mmoja kati ya viongozi wachache barani Afrika wasiojikweza..pia siyo mwobgeaji sana
Ndo Rais pekee ambaye ana mke zaidi ya mmoja hivyo wakati wa utawala wake nilikuwa na maFirst Lady wawili
Pia nasikia alikuwa hasaini kabisa adhabu ya kifo
Ndiye baba wa Hussein Mwinyi aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na JKT
...........
Ni leohivi ndio leo
Namkumbuka sana huju jamaaNUKUU YA LEO
I've always wanted to race cars, ever since I was a young boy, as I think a lot of guys have.
Kila mara huwa nataka niendeshe magari, hii ni toka nikiwa mdogo, kama ninavyofikiri kwamba kila kijana anataka
Haya maneno yalipatwa kusemwa na Muigizaji wa kimarekani Paul William Walker.
Paul Walker alizaliwa Tar. 12/09/1973 jijini California nchini marekani.
Paul walker alifariki kwa ajali ya gari tar 30 /11/2013 akiwa na mshkaji wake Roger Rodas..
Gari yao ilikuwa inakimbia speed ya kawaida ya 72km/hr
Walker atakumbukwa kwa filamu zake nyingi moja ikiwa ni Fast and Furious.
![]()
![]()
Morning wakuu..
wakuu Nukuu za week hii zitakuwa simple..nashindwa kuweka nyama manake niko safarini..Muwe na siku njema
Itakutesa sanaile thread najuta shemela
Shukrani kiongozi kwa fact zisizo na mpinzaniWakuu tuwe na siku njema ..ila kama kuna marudio msamaha wenu make najua mwekahazina alikuwa anafanya mambo
si mzima ww kwahiyo kupenda umeumbiwa ww tuNdio
Asante shemela kwa kuperuzsante shem wange kwa magazeti
hiko ni kifupi mm huwa namfupishaHuyo mchuchu wao yuko wp?!
kazi ipo lugha gani hiyoNdamenya![]()
Ndagomba umuleke vale
Hii kitu nimewahi kuieleea kwenye ile Top Ten ya majanga 10 hali to sababisha vifo vingi zaidi duniani
baby wangu ale kabisa kabla ya mechiNi leo
acha tu lee hajapendaItakutesa sana

Wakati huo Zidane alikuwa moto wa kuotea mbali![]()
![]()
![]()
Nilipendelea kumwita babu
Vichwa vya Zizzou vilimshinda pale Paris fainali 1998
........
Deo njohole![]()
![]()
![]()
Yaani kafanya km Luis Figo
Pia akina Yondani,Tambwe ,Kaseja na Lunyamila kuchezea Simba na Yanga
......