Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Kwa mara ya kwanza naona Wenger kamfunga Mourinho huku wote wakiwa nje ya Top 4View attachment 506076Mpaka hapo sina la ziada tukutane tena kesho muda na wakati kama huu kwa udhamini mnono wa Herrera na Mama mchungaji
Nawatakieni wote jumatatu njema
.
.
Shukrani kwa magazeti
.........
akifungwa utamlisha