theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,732
Shunie hapo unashabikia team zipi!?Kila la kheri team zangu
Shunie hapo unashabikia team zipi!?Kila la kheri team zangu
[emoji109] [emoji109][emoji817] [emoji817] [emoji817]
SawaWewe minya mdomo tuu
Koloni ina maana ni wewe uliyopo nyumbani, au base ya kwanza ya LeeEt shemela wanazungumzia koloni gani ujue nimeskip pages
Kaleft? Si ajabu kaleta za kuleta kaishia kubondwa na lilinzi lake pande la miraba minne liShedede.Lee kaleft
Hivi koloni mana yake nnKoloni ina maana ni wewe uliyopo nyumbani, au base ya kwanza ya Lee
Humu ndani Kuna upakoAiseee wote mnaokoka
[emoji17] [emoji17] hakuna chenye unafuu hapooWanasema watafiti kuwa haijawahi kuthibishwa kuwa mtumiaji wa bangi kuwa na cancer,
Wakati watumiaji wengi wa sigara wanakufa na cancer
Je bangi na sigara kipi bora?
Zinajulikana tutaonana jioniShunie hapo unashabikia team zipi!?
Hongera kwa 182 KKaribu kapuku mgeni
Mwifwa bila shaka ni mwenyeji wa Mbeya!
Ndioooo kwa yesu ni rahaAiseee wote mnaokoka
man u naipenda lakini kwa leo naona kama atakula nyingi kidogo!Karata yako mkuu kwa man u vs arsenal
Sawa mkuuUnited forever
Hahahhah naona mama mchuchu abarikiweHumu ndani Kuna upako
Weeeh ushindweeeeman u naipenda lakini kwa leo naona kama atakula nyingi kidogo!
Nitamcheki kama wa mbeyaKaribu kapuku mgeni
Mwifwa bila shaka ni mwenyeji wa Mbeya!
Amepumzika jaman hawezi leftKaleft? Si ajabu kaleta za kuleta kaishia kubondwa na lilinzi lake pande la miraba minne liShedede.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]hapana shemela nimeshindwa mm sio kwa pages hizo