Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
sasa shemela mbona sijaona unanitetea hapo tu ndio tunapishindwanaHapo sasa na wewe ushangae
sasa shemela mbona sijaona unanitetea hapo tu ndio tunapishindwanaHapo sasa na wewe ushangae
Anhaaa,Namaainisha mahali/source ambapo historia za nyumbani linapatikana yaani ili mtu awe anatujuza kila siku
........
Ngoja tuoneNa 2018 utavuja tena
1998, 2008 na 201.....loading
Anataka niachike
Uvivu dada hautakiwiNaishia hapa mechoka pages nyingii jamaan huko mbele sijui kumeendeleaje kwa lee wangu
hahahha hapana chezeaAtaanzaje kuyaacha kwa mfano
Mkuu ahsante2017 Gavana wa Jiji la DSM anakumbwa na kashfa ya kufoji elimu yake ya kidato cha nne kwa kutumia jina lingine ikiwa yeye anaitwa BARSHITEH
Unafikiri aluachia tu hivihivi?Mwaka 2008 Edward Lowassa anaachia ngazi kwa kashfa ya kandaras ya Kufua umeme ya Richmond
Cha mlimakilele kipi
Mbona unaguna dada
Si ameelezea vizuri tu hapo tuseme haujaelewaNani anahitaji source?Juu ya nini?
Amenifafanulia nimemuelewaSi ameelezea vizuri tu hapo tuseme haujaelewa
na itabidi ufunge na kuomba kwa hili, nitakusaidia kushusha upakohKweli kabisa .
Sio wa mnyarukoloShedede wa msukuma
AlikionyeshaApril 1,2016 BWANA MKUBWA anatoa ahadi ya kuonesha Salary Slip yake ili kudhihirisha kile anacholipwa akiwa mapumzikoni CHATTLE
Alisema 'Tatizo ni huu uwaziri mkuu'Unafikiri aluachia tu hivihivi?
.......
Mkuu unatuchanganyaMwaka 2015 Mbunge wa Ludewa bwana Deo Filikunjombe anapoteza maisha baada ya kupata ajali ya helcopter kwenye harakat za.kampeni kwenye chama chake PENDWA