Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mwaka huohuo 1999 mtihani wa Taifa wa kidato cha IV unafanywa mara 2,
Early1999 na November 1999.
Sababu ikiwa kuvuja kwa mtihani wa November 1998 chini ya Profesa Kapuya.
Mkuu msaidie source mwenzio ili atusaidie kutujuza kila siku

Au km vipi basi ww unaleta za home yy za mamtoni
Humu wengi tunapenda mambo ya nyumbani ila hatuyapati (hatuma chanzo vya kuaminika)
......
 
Mkuu msaidie source mwenzio ili atusaidie kutujuza kila siku

Au km vipi basi ww unaleta za home yy za mamtoni
Humu wengi tunapenda mambo ya nyumbani ila hatuyapati (hatuma chanzo vya kuaminika)
......
Nani anahitaji source?Juu ya nini?
Mwaka 2016 rasmi Wilaya za Ubungo na Kigamboni zinajitenga kutoka Kinondoni na Temeke
 
Ukiwa Barranco unaona Kibo mubasharaaa..
46e54bab804c616e5a34a1d7022a2fd0.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom