Makapuku Forum

Makapuku Forum

Awam ya 3 wakat iddi Simba akiwa Waziri wa Viwanda na Biashara anaamua kujiuzuru Uwaziri kwa kashfa ya SUKARI
2bebb404f047c11006a53138f3d578a1.jpg
Nafikiri alitimuliwa maana Waswahili hawajiuzulu kizembezembe
.......
 
Mwaka 2015 Mbunge wa Ludewa bwana Deo Filikunjombe anapoteza maisha baada ya kupata ajali ya helcopter kwenye harakat za.kampeni kwenye chama chake PENDWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom