keydu
Senior Member
- Jan 3, 2017
- 124
- 191
Ndio uweke bayana wewe ni shabiki wa timu ipi hapo,ili usije kuyakataa matokeo hapo baadaeTusikimbiane jamaan![]()
Ndio uweke bayana wewe ni shabiki wa timu ipi hapo,ili usije kuyakataa matokeo hapo baadaeTusikimbiane jamaan![]()
Ila mbugani ukizubaa unaliwa na Simba au kung'atwa na nyokaNapenda sana adventure ila sio kwa shida hizo.
Ndio maana nimetembea kwenye hifadhi nyingine lakini Mt Kilimanjaro nilishindwa.
Upigane na naniWaache wamemiss vurugu zangu..!
Ila mimi nipo full reloaded..wakitaka vita waje..
Asante Mussolin kwa historia ubarikiweLeo katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Asante Bitoz kwa picha za historia![]()
![]()
Siku hizi naona imejikita kwenye pikipiki
Wamebadilika kuendana na soko
.......
Mwaka 2004 mitihani ya kidato cha IV inavuja tena ila serikali ikaamua KUZIBA MACHO na Masikio.Asante mkuu. Dunia ya tatu bado sana katika mambo mengi.
Anyone on my way..!Upigane na nani
Lee kaleftNaishia hapa mechoka pages nyingii jamaan huko mbele sijui kumeendeleaje kwa lee wangu
OK.Kama k'njaro ulikwama usiwaze hata mt. Meru mkuu..
Ule uko too steep..
Kwani na wewe unataka kuoaHivi ww ni mtakatifu kuliko
Bikra Maria,?
Mbona yy aliolewa
Unapinga maagizo ya Mungu kukuumba?
Dada mzimaKhaaa binamu
Snoop alianza hizi mambo za kuuza na kuvuta weed tangu akiwa sekondari.![]()
Ndio mkuuMakao mkuu mbozi
Wewe kata mbuga hivyo hivyoPages ni nyingiii![]()
Ndo umeamua kusemelea?miss u kiboko yangu mpk nakufwababy ushajifunza hayo maandishi ya marangi
mm sipendi yananiumiza macho au sijui ndio ushamba wangu
bora umerudi jana usiku walikua wanakuua kwa maneno shemela shululu na tetra