Makapuku Forum

Makapuku Forum

#MECHI_YA_LEO

ARSENAL vs MANCHESTER UNITED

UWANJA: Emirates stadium

MUDA: 6:00 Pm EAT (12 Jion)
5a8cebd943eb45b0b4c5ea0acc2ebeeb.jpg

Mwisho wa ubishi ndio leo
Tusikimbiane jamaan [emoji115]
 
1919 - Eva Peron anazaliwa.

Alikuwa ni mke wa Rais wa 25 wa Argentina, Juan Peron.

Mwanaharakati wa haki za Wanawake ( Mfeministi ) na kiongozi wa kiroho wa Argentina.

Ni mmoja kati ya wanawake mashuhuri na wanaokubalika kuwahi kutokea katika nchi ya Argentina na Amerika ya Kusini kwa Ujumla.
happy birthday eva
 
Back
Top Bottom