Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,974
Poa shem naona mzee wa harakatiMambo vipi mrembo wa lee
Le shemeji
Poa shem naona mzee wa harakatiMambo vipi mrembo wa lee
Le shemeji
Naona uzi unateleza tuSawa kamanda mkuu
Wewe minya mdomo tuu
GGMUKarata yako dada
ni yeye sio mmNaona Leo mmekiwasha na mondray
NimekuelewaMkuu unachanganya
Sisi tulifikiri matukio ya siku km ya leo duh kumbe umeandika tu vyovyote ilimradi zamani
......
Nimeuliza tu mm ujue kuna vilele vingiUnajua nitakupa jibu unalotaka eeh?
Kwa sababu wizara ilifumbia macho kuliko hiyo miaka mingine ambapo mitihani ilihairishwaUmeruka 2004
Kapicha ka gavana mkuu2017 Gavana wa Jiji la DSM anakumbwa na kashfa ya kufoji elimu yake ya kidato cha nne kwa kutumia jina lingine ikiwa yeye anaitwa BARSHITEH
hapana nimeshindwa mmUvivu dada hautakiwi
Mkuu nyageiio hapo kwa mashetani wekundu tupo pamojaUnited forever
Oooh sawaCha mlima
Bitoz atakaletaKapicha ka gavana mkuu
Cc: bitoz
hapana kaka kila la kheri kwenye harakati zakoMbona unaguna dada
Amen Amenwashindwe kwa jina yesu
Huo mng'ao ndio kibo?Ukiwa Barranco unaona Kibo mubasharaaa..![]()
Koloni ina maana ni wewe uliyopo nyumbani, au base ya kwanza ya LeeEt shemela wanazungumzia koloni gani ujue nimeskip pages
hana mwili huo wa kutishaSio wa mnyarukolo