Makapuku Forum

Makapuku Forum

Wanamsumbua Nike
Mzee wa

Adidas wanachonikera ni mistari yao tu ile mi3

.........
Ile ndio alama yao. Kama ambavyo nike ike tiki ndo alama yao.

Sema msimi huu wameharibu kuweka ile mistari mitatu kwenye usawa wa mbavu badala ya juu ya mabega.

Puma inapendwa sana na timu za Afrika.

Puma na Adidas ni kampuni za mtu na kaka yake.

ADIDAS - All Days I Dream About Sports. Kirefu kisicho rasmi.
 
Spain LaLiga
d1358559955de80c716056f42ea57fdd.jpg
 
Ile ndio alama yao. Kama ambavyo nike ike tiki ndo alama yao.

Sema msimi huu wameharibu kuweka ile mistari mitatu kwenye usawa wa mbavu badala ya juu ya mabega.

Puma inapendwa sana na timu za Afrika.

Puma na Adidas ni kampuni za mtu na kaka yake.

ADIDAS - All Days I Dream About Sports. Kirefu kisicho rasmi.
Mkuu sio msimu huu tu hata zamani washawahi kufanya hivyo
Pia washawahi kuweka kwa style km ya michirizi ya jezi za Azam...pia kuweka begani kushukia kwenye nembo
Ila ile ya juu begani ndo official
.......
 
DSTV wanyonyaji
Siku AzamTv akiabza kuonesha EPL km La Liga na hata iwe buku 50 kwa mwezi ndo utakuwa Mwisho wao

EPL ndo bidhaa inayowabeba
Mi La Liga naangaliaga mara chache tu hata jana nimeikaushia maana kila siku watu wanapigwa 6,4 mara 5
Hata kupaki basi hawawezi?
........
La Liga ligi ya kizembe sana
 
DSTV wanyonyaji
Siku AzamTv akiabza kuonesha EPL km La Liga na hata iwe buku 50 kwa mwezi ndo utakuwa Mwisho wao

EPL ndo bidhaa inayowabeba
Mi La Liga naangaliaga mara chache tu hata jana nimeikaushia maana kila siku watu wanapigwa 6,4 mara 5
Hata kupaki basi hawawezi?
........
DSTV sio mpira tu, mfano wewe bitoz ni mwanasheria, ukiiangalia chanel kama CRIME na ID, pamoja na mambo ya historia kupitia HISTORY, utajifunza vitu vingi sana tofauti kabisa na ulivyofundishwa chuo
 
Ile ndio alama yao. Kama ambavyo nike ike tiki ndo alama yao.

Sema msimi huu wameharibu kuweka ile mistari mitatu kwenye usawa wa mbavu badala ya juu ya mabega.

Puma inapendwa sana na timu za Afrika.

Puma na Adidas ni kampuni za mtu na kaka yake.

ADIDAS - All Days I Dream About Sports. Kirefu kisicho rasmi.
Nilikuwa sijui kirefu aisee, shukrani sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom