Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Mikumi kukatiza tu pale inatoshaBado mkuu, ila ngorongoro, serengeti na mikumi huko nishaingia mbugani
Labda wahamishe barabara
........
Mikumi kukatiza tu pale inatoshaBado mkuu, ila ngorongoro, serengeti na mikumi huko nishaingia mbugani
SanaaaaShakila aliimba kwa hisia...
Hahahaa! Hujui maana ya adventure mkuu..?Shida zote za nini?

Hata juu ya hayo maandishi adidas si unaona mistari mitatu hasa hiyo nembo ya chini.![]()
![]()
Huu ndo utambulisho wao
Ile mistari ziada tu
..........
Ndio binamu yakoHuyu bhinamu ata simueleweii
Maana wengine wanafikiri ni km kupandisha ngazi za ghorofa tuLa kufa kiumbe..! Lazima uwe na jacket kama 3 na shweta ndani..
Afu pia uwe na Raincoat moja na tracks kwa ajili ya mvua na snowfalls
Sleepingbag ya kulalia ni lazima
hivi mnazungumzia koloni ganiMkuu hata usiku mtu akilala huwa roho inasafirii
sasa kama umeacha mwili ntauamsha ili roho irudi ulipokwenda nayo![]()
![]()
Napenda sana adventure ila sio kwa shida hizo.Hahahaa! Hujui maana ya adventure mkuu..?![]()
Wewe kama mimiNapenda sana adventure ila sio kwa shida hizo.
Ndio maana nimetembea kwenye hifadhi nyingine lakini Mt Kilimanjaro nilishindwa.
Aisee![]()
Cc
Shumie
......
Teh teh![]()
Prove it
Ndio 7bu wadada wanaongoza kwa umbea
.....
Unalipwa nn na huu umbea ambao ni uongo T kanimendea sa ngpUmesiki T yupo anammendea shunie ndio umekuja..
Endelea kukaa utakuta kombe limeenda kolomije..
Achana nae huyotuambizanee mkuuu
utanifanya nirudi mwanzoni kabisa 160k ....
HongeraYes mkuu.!
Ni salama mkuuNjema za huko mkuu
Kama k'njaro ulikwama usiwaze hata mt. Meru mkuu..Napenda sana adventure ila sio kwa shida hizo.
Ndio maana nimetembea kwenye hifadhi nyingine lakini Mt Kilimanjaro nilishindwa.
jana wote tulikuepo usiku haya T kanimendea wapiTafuta post za kuanzia jana saa 6 usiku ujionee