Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Seria A leo wanaanza mapema sanaAsante Nyagei
Seria A leo wanaanza mapema sanaAsante Nyagei
Tunakwangua tu kama pale taifanatumaini nauli umebeba, safari isije kuishia njiani tu!
Wajerumani wapo vizuri kwenye vifaa vya michezosijui mjerumani alipotelea wapi kwenye hii battle ya electronics
zamani kidogo vitu vya electronic vingi vilikuwa made in germany
Mh! Wapi tena hukoTutakwenda pahala tupumzike huku tukinywa
Waache wamemiss vurugu zangu..!Wakikusumbua niite
Nyagei mkimbilie aiseeNyie watu nyie![]()
![]()
![]()
Bibie naomba tuwe p1 humu KP maan mm sina mate humu

Yalifanya kaziNi poa tu mkuu
Jana maombi yalifanya kazi
Aisee alitisha sana1986 - Mkanada Patrick Morrow anakuwa mtu wa kwanza kupanda milima yote mirefu saba ya kila bara hapa ( Seven Summits ).
Seven Summits ni Mlima Kilimanjaro, Everest, Concagua, Puncak Jaya, Konsciuszko, Elbrus, Mont Blanc.
1976 - Kampuni ya magari ya Honda Accord yaanzishwa.
Mtoto alikuwa hatumwi dukaniVieira na Kean
Wako njema sanaWabobezi wa electronic
asanteh! mkuu Mussolin5Leo katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Ni sehemu ya jukwaaMnautani sana
Africa ni majanga1999 - Rais Joao Bernardo Vieira wa Guinea- Bissau anapinduliwa katika Mapinduzi ya Kijeshi.
Bidhaa zao zina ubora wa hali ya juu sana. Nawakubali sana.![]()
![]()
Kwasasa Ni moja kati ya kampuni kubwa za vifaa vya kielektroniki duniani
.....
Judo2000 - Vladimir Putin anaapishwa kama Rais wa Urusi.
Hii ndio ilikuwa mwanzo wa utawala wa muda mrefu wa Rais huyo wa Urusi kwa mihula mitatu tofauti huku akiwahi kushika wadhifa wa Waziri Mkuu mara moja.
Ni mmoja kati ya viongozi wachache waliobobea katika Ujasusi wa hali ya juu huku pia akiwa mtaalamu wa sanaa za mapigano.