Makapuku Forum

5/Eliza & Mary Chalkhurst Hawa walizaliwa nchini England 1100
Ndio mapacha walioungana wa mwanzo kabisa kufahamika
Waliungana sehemu za mapajani japo picha zingine zinaonesha pia begani
Walifariki mnamo mwaka 1136 ambapowaliagiza pesa zao zilizopatikana kutokana na umaarufu wao zitumike kusaidia maskini na wasiojiweza kijijini kwao
.......
 
National team aliikosa no4
 
Aisee, usikute na no yake ya bahati ni 9
 
4/Millie & Christine Mc Coy
Walizaliwa huko North Carolina 1851 wazazi wao wakiwa ni watumwa
Waliuzwa wangali wakiwa wadogo ili watumike kuburudisha kwenye matamasha mbalimbali
Wakiwa kwenye shoo walitekwa na kupekekwa huko Uingereza pia kwenye matamasha ya kucheza na kuimba
Walifariki wakiwa na miaka 61
..........
 
Miujiza ya Mungu hiyo
 
Duh!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…