Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,869
hahhahaBila shaka nilikua natamani nimuelewe,nikawa namwomba Mungu anisaidie...unajua kila mara tunapaswa kumuomba Mungu KUELEWA KULIKO KUELEWEKA,NASHUKURU MUNGU KASIKIA MAOMBI YANGU![]()
hahhahaBila shaka nilikua natamani nimuelewe,nikawa namwomba Mungu anisaidie...unajua kila mara tunapaswa kumuomba Mungu KUELEWA KULIKO KUELEWEKA,NASHUKURU MUNGU KASIKIA MAOMBI YANGU![]()
safi sana kumbe no zao zina maana kubwa tuAndrea Pirlo - Namba 21
Pirlo amekuwa muumini mzuri wa namba 21 kwasababu ni tarehe ya kuzaliwa kwa baba yake mzazi.
New York Fc
![]()
Ac Milan
![]()
Juventus
![]()
Italy
![]()
Pesa makaratasiHASARA ROHO!!
Amejitahidi,ila ule wa kwanza ulkua mzuri zaidi naupenda sanaHASARA ROHO!!
Anataka tununue ,labda ana 20%Hivi Mwakiembe unatutaka nini sisi Makapuku!!! Eti tv na redio watusomee vichwa vya habari vya magazeti tu daaa!!! Tumekwisha.
Huwezi kutoa kizuri siku zote. Mpaka wimbo ubambe sio mchezo aisee.Amejitahidi,ila ule wa kwanza ulkua mzuri zaidi naupenda sana
....ASANTE SANA UWE UNAONEKANA ,TUSIDHANI".... UNA TUDIS,HUKU TUNAKUMISS.." Kwa sauti ya DARASA......KARIBU SANAPesa makaratasi
Amejitahidi,ila ule wa kwanza ulkua mzuri zaidi naupenda sana
Kweli,amedhihirisha hili,safi sana. Kuna watu ukiwauliza tarehe za kuzaliwa wazazi wao hawazijui wala hawajawahi uliza...tuwaenzi wazazi. Nimeipenda hii ya PirloAndrea Pirlo - Namba 21
Pirlo amekuwa muumini mzuri wa namba 21 kwasababu ni tarehe ya kuzaliwa kwa baba yake mzazi.
New York Fc
![]()
Ac Milan
![]()
Juventus
![]()
Italy
![]()

GoodFrancesc " Cesc " Fabregas - Namba 4
Kiungo huyu matata ni mpenzi wa jezi namba 4 kutokana na sababu kuu mbili.
Moja, Ni tarehe yake ya kuzaliwa.
Mbili, Ni jezi iliyokuwa inavaliwa na Pep guardiola ambaye amemtaja kama role model wake.
Arsenal
![]()
Barcelona
![]()
Chelsea
![]()
Fabregas kwa timu ya taifa ya Hispania, amekuwa akivaa jezi namba 10.

Sanasana yuko vizuri,alihojiwa wiki kama mbili zilizopita EATV KASEMA ANANYIMBO NYINGI SANA ,AKIAMUA TU ANAINGIA STUDIO ZIPO KAISHATUNGA,KATULIA SANAHuwezi kutoa kizuri siku zote. Mpaka wimbo ubambe sio mchezo aisee.
Ila amejitahidi sana
"unatafuta kiki Kwa pikipiki" I hope utabamba na huu....ASANTE SANA UWE UNAONEKANA ,TUSIDHANI".... UNA TUDIS,HUKU TUNAKUMISS.." Kwa sauti ya DARASA......KARIBU SANA
Rafiki yake ni Hanscana pia alisema hivyo kuwa wana projects nyingi sana. Ngoja tuzisubirieSanasana yuko vizuri,alihojiwa wiki kama mbili zilizopita EATV KASEMA ANANYIMBO NYINGI SANA ,AKIAMUA TU ANAINGIA STUDIO ZIPO KAISHATUNGA,KATULIA SANA
Mama mchuchu kumbe unaskilizaga hizo nyimbo....ASANTE SANA UWE UNAONEKANA ,TUSIDHANI".... UNA TUDIS,HUKU TUNAKUMISS.." Kwa sauti ya DARASA......KARIBU SANA
Pia kuna mambo mengine ya namba yako kiroho kama unaamini hawa na wengine wanaamini,wengine mambo ya nyota hawawezi yasemaXabi Alonso - Namba 14
Kiungo mkabaji huyu amekuwa ni muumini mzuri wa namba 14 kwa heshima ya gwiji wa zamani wa Uholanzi Yohan Cruyff aliyekuwa anavaa jezi namba 14.
Liverpool
![]()
Hispania
![]()
Real Madrid
Alonso alianza na namba 22 akiwa Madrid kabla ya kupewa namba yake pendwa.
![]()
Bayern Munich
Akiwa Bayern alianza na namba 3 kabla ya msimu uliofatia kupewa namba yake pendwa 14.
![]()
![]()
halaf naskia hata kuishi anaishi makongo kwa hanscanaRafiki yake ni Hanscana pia alisema hivyo kuwa wana projects nyingi sana. Ngoja tuzisubirie
nilikua namsubili kwa hamu napenda sana vituko vyakeMario Balotelli - Namba 45
Straika Mario Balotelli amekuwa akivaa jezi namba 45 ambapo sababu kuu ni kuwa 4 +5 = 9.
Hivyo anapokuwa anavaa namba 45 ni sawa amevaa namba 9.
Pia alipovaa namba 45 kwa mara ya kwanza akiwa Inter Milan alifunga mechi nne mfululizo hivyo akaamua aendelee na namba hiyo.
Inter Milan
![]()
Ac Milan
![]()
Man City
![]()
Liverpool
![]()