shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Haaaaahaaaa
Haaaaahaaaa
Aisee du lipu lipu
Nafikiri amekuelewaUbarikiwe kila wakati, mbona me ni rahisi tu kunielewa
poa shemela za wwNiaje shemela
Siwaamshi bali huwa nawalazaMapemaa!! Naona upo kwenye ubora wako mkuu, anza kuamsha popo
Leta manenoJE WAJUA :
Siri ya Namba Wanazopenda Kuvaa Wachezaji Maarufu.
Leo tutaangalia wachezaji maarufu na namba wanazopenda kuzivaa. Wengine imekuwa ni utamaduni wao kuvaa namba hiyohiyo kila timu aendayo.
Mimi huwa nampenda namna anavvyoshangilia akifunga goriAntoine Griezmann - Namba 7
Amekuwa akipenda kuvaa jezi namba 7 kwaheshima ya David Beckham ambaye anamtaja kama ndio " Role Model " wake wakati anakua. Pia anapenda kuvaa jezi za mikono mirefu kama ambavyo David Beckham alikuwa akifanya enzi zake akicheza mpira.
hapa akiwa Real Sociedad
![]()
Hapa akiwa Atletico Madrid
![]()
Timu ya taifa ya Ufaransa
![]()
Alitegemewa sana kufanya miujiza kwenye soka, lakini alishindwaDaniele De Rossi - Namba 16
Staa huyu wa As Roma na timu ya Taifa ya Italy hupenda kuvaa jezi namba 16 kwasababu kuu mbili.
Moja, ni kuwa Mtoto wake aitwae Gaia alizaliwa tarehe 16.
Mbili, Anapenda kuvaa namba 16 ikiwa ni heshima kwa Kepteni wa zamani wa Man Utd, Roy Keane aliyekuwa anavaa jezi namba 16 akiwa Man Utd.
Hapa akiwa na As Roma
![]()
Akiwa na timu ya taifa ya Italy
![]()
Ahsante mkuu kwa magazetiView attachment 504721Mpaka hapo sina la ziada tukutane tena kesho muda na wakati kama huu kwa udhamini mkuu wa makapuku wote, nawatakieni ijumaa njema
Wakati yupo arsenal hakuvaa no hiyoNicolas Anelka - Namba 39
Straika wa zamani wa Chelsea, Man City, Fernabache, Bolton amekuwa akipenda kuvaa jezi namba 39 ikiwa ni namba yake ya bahati anayoipenda.
Chelsea
![]()
Man City
![]()
West Bromwich Albion
![]()
![]()
Ufaransa
![]()
Bolton Wonderers
![]()
Fenerbahce
![]()
Si povu ila niliipeleka kwenye uhalisiaha hahhahaah, naona povu mtaasisis mwenzangu, Alhamisi ni siku ya Futuhi, kila mechi inayochezwa alhamisi ni futuhi tu
KajitahidiUmemgusa
Tangu akose penati kwenye word cup dhidi ya Paraguay, nilimuondoa kabisa kwenye list ya wachezaji wa timu zao za Africa waliosaidia timu kufanya vizuriAsamoah Gyan - Namba 3
Staa huyu wa Ghana amekuwa akivaa namba 3 akiamini kuwa ndio namba yake ya bahati.
Ghana
![]()
Al Ahli
![]()
Alipokuwa Sunderland alikuta Jezi namba 3 ina mtu, akaamua kui-double namba 3 na kuwa 33.
![]()
UF ilipotea kidogo ila soon itaendeleaKama kawaida Makapuku wenzangu, kumekucha.
Tuansubiri segmenti za Historia (hivi Ijumaa hii kitu huwa inakuwepo) ikiambatana na picha zake, kisha tunapata UF na kinachofuata ni kujamiiana tu (socializing)
Shukrani mkuu Mussolin5 kwa historiaLeo katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Ahsante sana mkuu![]()
![]()
Makaburu noma sana kila mwanaharakati walimuonjesha jela
Kagame swahiba ake Sizonje nae ndo staili yake ikishindikana unauawa kimyakimya
Shukrani mkuu
Tukutane jioni
.........
.
Ashukuruliwe sanaBila shaka nilikua natamani nimuelewe,nikawa namwomba Mungu anisaidie...unajua kila mara tunapaswa kumuomba Mungu KUELEWA KULIKO KUELEWEKA,NASHUKURU MUNGU KASIKIA MAOMBI YANGU![]()
Mkorofi sanaHili jamaa lilisifika pia kwa utukutu
.....