Hii nakumbuka nilikuwa Mwanza aisee. Tunapigwa sitaIlikuwa ni moja ya siku mbaya sana nikiwa kama shabiki wa Man Utd.
Aisee10/Abby & Brittany Hensel![]()
![]()
![]()
Walizaliwa 1990 wazazi wao wakaambiwa hawataishi zaidi ya usiku mmoja lakini miaka 22 baadaye wakaanza masomo Chuo Kikuu
Wana mioyo miwili, mapafu pea mbili, na ubongo kila mtu na wake ila mmoja anatawala upande wa kushoto huku mwingine Julia
Kila mtu ana leseni yake ya udereva, wanaendesha baiskeli , gari na kushirikiana mambo mengi
.......
Mimi nilikuwa TJ Pub pale Nyegezi kona, goli la 4 nikakimbia, nafika Malimbe ngoma ni 6. Aisee...sitasahauHii nakumbuka nilikuwa Mwanza aisee. Tunapigwa sita
Akiwa Arsenal alivaa number ngapi? Nikumbushe kidogo Bitoz,Mussolini 5.Hili jamaa lilisifika pia kwa utukutu
.....
halaf wameungana kidogo tu9/Chang & Eng Bunker![]()
![]()
Walizaliwa 1811 huko Sir am(Thailand ya sasa)
Mwanzo ilionekana ni rahisi kuwatenganisha lakini Madaktari wa kipindi wakagundua ni hatari kwa uhai wao hivyo wakaghairi
Hawa walikuwa wajanjawajanja hivyo hawakulala njaa walishiriki matamasha na kupiga shoo na kuvuta mkwanja
Walifanikiwa kuwa maarufu na kuizunguka dunia
.......
9 hata Real MadridAkiwa Arsenal alivaa number ngapi? Nikumbushe kidogo Bitoz,Mussolini 5.
Zamani teknolojia ilikuwa kiwango cha chinihalaf wameungana kidogo tu
Hahahaha TJ pub kitambo kidogo. Nilikuwa ghetto na washikaji halafu wote man united. Tulikuwa tunasonya Tu hahahaha. Scholes akapew red cardMimi nilikuwa TJ Pub pale Nyegezi kona, goli la 4 nikakimbia, nafika Malimbe ngoma ni 6. Aisee...sitasahau
Niaje shemelahaujaelewa nimemaanisha mlinzi wangu sio wa kulainika na beer na wala hawezi lainika na chochote kile
Aisee mzazi ana roho ngumu8/Daisy & Violet Hilton![]()
![]()
Hawa walizaliwa 1908 mama yao akiwa binti wa miaka 19
Mama yao alikuwa ni baamedi na sistaduu Hivyo kuamua kuwauza kwa bosi wake( namaainisha kuwauza km unavyouza vitu dukani)
Huyo jamaa akawaweka showroom na kuingiza pesa kutokana na burudani yao iliyotukuka
Wakatekwa na wafanyabiashara wengine na kuanza kuwatembeza sehemu mbalimbali duniani
.......
Za jioni mama mchungajiNa mablanketi pia tunajifunika mkuu,na masweta makoti yanavalika
Za jioni mukongoPeoplez, habarini za mchana?