BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Network inanisumbua sijui ni mm tu
Atafute kwake sasa aisee. Nasikia jamaa ni mtu wahalaf naskia hata kuishi anaishi makongo kwa hanscana

kama alishindwa hata kujenga kipindi cha muziki hajengi tenaAtafute kwake sasa aisee. Nasikia jamaa ni mtu wa![]()
![]()
ni ww tu mama mchuchuNetwork inanisumbua sijui ni mm tu
Nimo dunia hii hii na nyie ndio wanangu inabidi nijue mengi niwe najua pa kuanziaMama mchuchu kumbe unaskilizaga hizo nyimbo

hahaha aki nimeshangaa mama anguNimo dunia hii hii na nyie ndio wanangu inabidi nijue mengi niwe najua pa kuanzia![]()
Nakumbuka goli alizotupiga pale Old Trafford siku ile chungu tukafa 6...Man City ile ilikuwa moto ndo kuanzia Hapo tukaanza kuitwa "Mansita Utd" kitaaniMario Balotelli - Namba 45
Straika Mario Balotelli amekuwa akivaa jezi namba 45 ambapo sababu kuu ni kuwa 4 +5 = 9.
Hivyo anapokuwa anavaa namba 45 ni sawa amevaa namba 9.
Pia alipovaa namba 45 kwa mara ya kwanza akiwa Inter Milan alifunga mechi nne mfululizo hivyo akaamua aendelee na namba hiyo.
Inter Milan
![]()
Ac Milan
![]()
Man City
![]()
Liverpool
![]()
Kweli ina mkosi mkubwaMichael Ballack - Namba 13
Ballack alikuwa anamhusudu sana mshambuliaji wa zamani wa Ujerumani, Rudi Voller ambaye alikuwa anava jezi namba 13. Hivyo Ballack aliposajiliwa na Bayer Leverkusen, alimkuta Rudi Voller ndio mkurugenzi wa Michezo wa klabu hiyo, Ballack akashauriwa kuvaa namba 13. Kumbe alichagua namba ya mkosi bila kujijua.
Bayern Munich
![]()
Ujerumani
![]()
Bayer Levekusen
![]()
Chelsea
Aliposajiliwa Chelsea alikuta namba 13 inavaliwa na William Gallas, yeye akaomba namba 13 kama sehemu ya mkataba wake inavyosema.
Hivyo Gallas akanyang'anywa namba 13 ili apewe Ballack, kitendo hiko kilimchukiza Gallas akaomba kuhama na kutua Arsenal.
![]()
Ajipange kabla hajapangwa. Show za kenya nyingine alizikataa.kama alishindwa hata kujenga kipindi cha muziki hajengi tena
sio hivyo hata tetesi za kutumia ngada zinasikika
Fainali ya Uefa mwaka 2008 dhidi ya Man Utd, hapo akiwa amalegea baada ya kipigo.Kweli ina mkosi mkubwa
Karibu kila Fainali aliyoweka mguu na mjezi wake timu ziliambulia vipigo tu...
........
Sikuwa najua hii
Ni kweli mkuu, sababu nyingine huwa haziwekwi wazi.Pia kuna mambo mengine ya namba yako kiroho kama unaamini hawa nai wengune wanaamini,wengine mambo ya nyita hawawezi yasema
Utukutu umeharibu kipaji chake.nilikua namsubili kwa hamu napenda sana vituko vyake
Ilikuwa ni moja ya siku mbaya sana nikiwa kama shabiki wa Man Utd.Nakumbuka goli alizotupiga pale Old Trafford siku ile chungu tukafa 6...Man City ile ilikuwa moto ndo kuanzia Hapo tukaanza kuitwa "Mansita Utd" kitaani![]()
Sitaisahau jinamizi la Super Mario
......
ni kweliUtukutu umeharibu kipaji chake.
Ndo umeshajuaSikuwa najua hii
Shukrani MussolinKwa leo sina la ziada, tukutane next time!
Guardiola, Role model wa Fabregas.
![]()
Rudi Voller, Role model wa Ballack
![]()
![]()
Asanteni wakuuShukrani Mussolin
Ndo umeshajua
.
.
Ngoja nijipange nishushe 10 kubwa ya kumalizia wiki
.......