Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
1981 - Craig David anazaliwa.
Muimbaji nyota wa muziki kutoka nchini Uingereza.
Huimba taratibu km taarabu
.....
1981 - Craig David anazaliwa.
Muimbaji nyota wa muziki kutoka nchini Uingereza.
1985 - Emanuele Giaccherini anazaliwa.
Kiungo mshambuliaji wa Napoli, ambaye pia amaewahi kupitia timu za Juventus na Sunderland.
Huchezea timu ya taifa ya Italy.
1988 - Adele anazaliwa.
Nyota na muimbaji wa muziki toka nchini Uingereza.
1989 - Chris Brown anazaliwa.
Muimbaji wa muziki toka nchini Marekani.
2003 - Walter Sisulu anafariki Dunia.
Alikuwa ni mwanaharakati dhidinya Ubaguzi wa rangi, Katibu Mkuu wa chama cha ANC na mwanasiasa mashuhuri aliyekuwa na nguvu kubwa ya ushawishi huko Afrika Kusini.
Alifungwa jela miaka 25 katika gereza la visiwa vya Robben na utawala wa Makaburu.
Ni mmoja ya Viongozi na Watu wanaoheshimika nchini Afrika ya Kusini hata baada ya kifo chake kando ya Nelson Mandela, Oliver Tambo, Desmomd Tutu nk.
HBD Craig David1981 - Craig David anazaliwa.
Muimbaji nyota wa muziki kutoka nchini Uingereza.
Amen Obe namshukuru Mungu nimekuelewa leoKama kawaida Makapuku wenzangu, kumekucha.
Tuansubiri segmenti za Historia (hivi Ijumaa hii kitu huwa inakuwepo) ikiambatana na picha zake, kisha tunapata UF na kinachofuata ni kujamiiana tu (socializing)

Hizi habari za kusadikika naona maluweluwe tuView attachment 504721Mpaka hapo sina la ziada tukutane tena kesho muda na wakati kama huu kwa udhamini mkuu wa makapuku wote, nawatakieni ijumaa njema
Kweliasante sana mdau kwa kipengele hiki cha magazeti. Unatufanya twende na wakati sana kwa kusoma habari tofauti tofauti
Mmh watu wanaandika kwa hofu ujueHizi habari za kusadikika naona maluweluwe tu
Shukrani kwa magazeti
Asubuhi njema
......
shemela jamaan mbao nilishangilia sbbu iliwafunga yangaHata juzi alikuwa anashabikia mbao fc
MhNimeokoka
halaf T jana kaniambia man u imefunga kumbe uongoAkafunga
NdioooNdio maana mkawa mabinamu
sio mlinzi wangu mmHahaa, mlinzi nikimpa bia moja inatosha
sitakiiiKwa simba hapo sawa ila hiyo macheza majanga, njoo the blues huku
mornie shem wangeMorning makapuku, magazeti ya leo yatawaijia hivi punde
Mmh huyu Jacky juzi insta alikua anamsifia sizonje huku kashika madola
wamuache kanumba wa watu apumzikeView attachment 504721Mpaka hapo sina la ziada tukutane tena kesho muda na wakati kama huu kwa udhamini mkuu wa makapuku wote, nawatakieni ijumaa njema
ha hahhahaah, naona povu mtaasisis mwenzangu, Alhamisi ni siku ya Futuhi, kila mechi inayochezwa alhamisi ni futuhi tu


ila sbbu tu ww binamu yangu una utani mbaya sana