Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,869
R.i.p bobby1981 - Bobby Sands anafariki Dunia mara baada ya mgomo wa kutokula kwa siku 66 huko katika Hospitali ya Gereza la Long Kesh nchini Ireland.
R.i.p bobby1981 - Bobby Sands anafariki Dunia mara baada ya mgomo wa kutokula kwa siku 66 huko katika Hospitali ya Gereza la Long Kesh nchini Ireland.
happy birthday Craig David mzee wa harmoking away na 7days1981 - Craig David anazaliwa.
Muimbaji nyota wa muziki kutoka nchini Uingereza.
happy birthday chriss wizzy1989 - Chris Brown anazaliwa.
Muimbaji wa muziki toka nchini Marekani.
Asante mussolin kwa historia mubasharaLeo katika Historia:
Niwatakie siku njema.
me sijui bana anapendaga tu kutamka hivyoHivi sauti yake ikoje?
marafiki wa kweli
Hata uvaaji wao ilikuwa ni wa kufanana![]()
Wakiwa kwenye matukio mbalimbali walivaa nguo zilizofanana
......
aiseee
Sababu ya kugoma?![]()
.....
enzi zake alitikisa na uhandsome wake picha ya pili kajiachia midevu
hii couple ilikua inapendeza sana
Asante Bitoz kwa picha![]()
![]()
Makaburu noma sana kila mwanaharakati walimuonjesha jela
Kagame swahiba ake Sizonje nae ndo staili yake ikishindikana unauawa kimyakimya
Shukrani mkuu
Tukutane jioni
.........
.
Amen Obe namshukuru Mungu nimekuelewa leo![]()

mama mchuchu leo umemuelewa binamu yangu
ZABURI
Kubariki
Kuponya
Kusaidia wengine wajisikie vema
SIKU NJEMA
ZABURI
Kubariki
Kuponya
Kusaidia wengine wajisikie vema
SIKU NJEMA
Ameen mama mchuchu ubarikiwe sanaZABURI
14. Maneno ya kinywa changu ,Na mawazo ya moyo wangu ,yapate kibali mbele zako ,Ee Bwana ,Mwamba na Mwokozi wangu
Yatupasa kumuomba Mungu sana kutupa kibali kwa maneno tunayoyatamka,tunayojitamkia na kuwaambia wengine ili yawe ya
Kubariki
Kuponya
Kusaidia wengine wajisikie vema
Hili linawezekana tukimuomba Mungu tu,peke yetu hatuwezi
TUOMBE
BABA tunakuja mbele zako asubuhi hii tukikushukuru kwa wema wako na fadhili zako,Asante kutuamsha tena salama
Tunaomba toba kwa makosa yetu yote,tusamehe,tusaidie tuanze mwenendo mpya
Tunaomba ponya wagonjwa,fariji wafiwa,ponya najeraha ya mioyo iliyovunjika,angalia wajane na yatima,saidia tusonge mbele huku tukikutegemea
Bariki kazi za mikono yetu
Asante Baba maana utatenda na mapenzi yako yatimizwe
Tunakuomba wapokee marehemu wetu,wapumzike kwa amani
Tunaomba na kushukuru kwa jina la Yesu amen
MBARIKIWE![]()
![]()
![]()
SIKU NJEMA
Eeh! Huna hata livescore na wewehalaf T jana kaniambia man u imefunga kumbe uongo
amen!ZABURI
14. Maneno ya kinywa changu ,Na mawazo ya moyo wangu ,yapate kibali mbele zako ,Ee Bwana ,Mwamba na Mwokozi wangu
Yatupasa kumuomba Mungu sana kutupa kibali kwa maneno tunayoyatamka,tunayojitamkia na kuwaambia wengine ili yawe ya
Kubariki
Kuponya
Kusaidia wengine wajisikie vema
Hili linawezekana tukimuomba Mungu tu,peke yetu hatuwezi
TUOMBE
BABA tunakuja mbele zako asubuhi hii tukikushukuru kwa wema wako na fadhili zako,Asante kutuamsha tena salama
Tunaomba toba kwa makosa yetu yote,tusamehe,tusaidie tuanze mwenendo mpya
Tunaomba ponya wagonjwa,fariji wafiwa,ponya najeraha ya mioyo iliyovunjika,angalia wajane na yatima,saidia tusonge mbele huku tukikutegemea
Bariki kazi za mikono yetu
Asante Baba maana utatenda na mapenzi yako yatimizwe
Tunakuomba wapokee marehemu wetu,wapumzike kwa amani
Tunaomba na kushukuru kwa jina la Yesu amen
MBARIKIWE![]()
![]()
![]()
SIKU NJEMA
sina ndioEeh! Huna hata livescore na wewe