Makapuku Forum

Mimi huwa nampenda namna anavvyoshangilia akifunga gori
 
Alitegemewa sana kufanya miujiza kwenye soka, lakini alishindwa
 
Asamoah Gyan - Namba 3

Staa huyu wa Ghana amekuwa akivaa namba 3 akiamini kuwa ndio namba yake ya bahati.

Ghana


Al Ahli


Alipokuwa Sunderland alikuta Jezi namba 3 ina mtu, akaamua kui-double namba 3 na kuwa 33.
Tangu akose penati kwenye word cup dhidi ya Paraguay, nilimuondoa kabisa kwenye list ya wachezaji wa timu zao za Africa waliosaidia timu kufanya vizuri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…