Kwa mwanaume aliyekamilika kweli aangalie futuhi badala ya mpira??
Anyway tunatofautiana interests
Asante ipogoloAsante mkuu Shululu.
Afande shedede niaje, humu kwema kabisawakuu niaje humu mkuu shululu asante sana kwa magazeti naomba ripoti mkuu
Umemgusaha hahhahaah, naona povu mtaasisis mwenzangu, Alhamisi ni siku ya Futuhi, kila mechi inayochezwa alhamisi ni futuhi tu
Shukrani kwa magazeti mkuu.View attachment 504721Mpaka hapo sina la ziada tukutane tena kesho muda na wakati kama huu kwa udhamini mkuu wa makapuku wote, nawatakieni ijumaa njema
View attachment 504721Mpaka hapo sina la ziada tukutane tena kesho muda na wakati kama huu kwa udhamini mkuu wa makapuku wote, nawatakieni ijumaa njema
Ubarikiwe asante kwa magazetiView attachment 504721Mpaka hapo sina la ziada tukutane tena kesho muda na wakati kama huu kwa udhamini mkuu wa makapuku wote, nawatakieni ijumaa njema

AsanteMorning makapuku, magazeti ya leo yatawaijia hivi punde