Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,414
Ndugu yako aliona mbali. Haya mambo wakati mwingine mtu unajisahau hasa ukizingatia kuwa haijawahi kutokea operesheni ya aina hii huko nyuma. Imagine wengine wamefanya kazi miaka 25+ na leo wamekumbwa na hii dhamana. Tena nasikia hata mafao yao wanayaminya kwa sababu nayo eti ni "haramu". Mtu unakaribia kustaafu halafu hili linakutokea. Ni mtihani mkubwa sana!Ndugu yangu mmoja yeye alijionggeza, alianza kufanya biashara zake huku anaffanya kazi lakini akijua kuwa hana chake tena kazini, alijitengenezea mazingira ya kutokuwa na pressure baada ya kutumbuliwa
Hapana utakwenda kumsaidia kutuwakilishaNyagei unaniuza au
Makovu tena???Tuoneshe makovu
Hiyo ikawa chachu ya yeye kumfuta babaye machoziNUKUU YA LEO
The first World Cup I remember was in the 1950 when I was 9 or 10 years old. My father was a soccer player, and there was a big party, and when Brazil lost to Uruguay, I saw my father crying.
Kombe la Dunia la kwanza nakumbuka ilikuwa ni mwaka 1950 nikiwa na miaka 9 au 10. Baba yangu alikuwa mwanasoka na kulikuwa na sherehe kubwa, na Brazil ilipofungwa na Uruguay nilimuona Baba yangu akilia
Hayo ni maneno yaliyopatwa kutamkwa na mwanasoka wa Brazil Edson Arantes do Nascimento almaarufu kama PELE.
Pele alizaliwa 23/10/1940 katika mji mdogo wa minas Girais na kukulia ktk jiji la Sao Paulo.
Mwaka 1999 Pele alipigiwa kura ya kuwa mchezaji bora wa karne ya 20.
Pele amefunga magoli 1281 katika michezo yote 1363 aliyocheza ktk maisha yake ya soka.
Pele anashika nafasi ya pili kwa ufungaji wa magoli katika maisha ya soka akiwa nyuma ya mbrazil mwenzie Arthur Friedenreich aliyefunga magoli 1329 katika michezo 1239.
Kuna mengi sana kuhusu pele..lakini baba yake mzazi alilia machozi baada ya Brazili kupokea kipigo cha goli 2 kwa 1 toka kwa uruguay na inakuwa mara ya kwanza uruguay kuchukua kombe hilo baada ya Vita ya pili ya dunia.
Brazil wanakunywa mpira, Brazil wanakula mpira,
Brazil wanavaa mpira,
Brazil wanaishi mpira,
Brazil wanapenda mpira.
Asante Nyagei, nawe pia
Huyo nyoka alifikaje mgongoni? Hata mimi nikisali na kukemea tatizo linaisha ila ikitokea nikaona mende hasa usiku nightmare zinajirudia. Naota mamende makubwa kama bajaji yananinyemelea halafu sasa nakuwa kama nimeganda kukimbia siwezi na nakuwa niko nusu macho na naweza kusikia kinachoendelea mf. maongezi n.k. Sijui ni mapepo haya au nini hii mtumishi?Kemea utaisha,kuna wakati nulijua naogipa sana nyoka kila nikiingia ndani nawaza nyoka huwezi amini siku moja alfajiri nilijikuta nimebeba nyoka mgongoninakung'uta akaanguka haa nikaitaa jina la Yesu nilipambana hadi kumuua,na nikaanza rasmi kukemea mfululizo limeisha hili jambo namshukuru Mungu
Tongotongo la Asubuhi
Huko milimani Prague Jamhuri ya Czech wiki iliyopita kulitokea mlipuko wa volkano yenye rangi ya waridi(Pink}
Licha ya volkano hiyo kuwa na rangi ya kuvutia lakini madhara yake pengine ni zaidi ama sawa na volkano ya kawaida
Wanasayansi bado wanachunguza sababu
.....
.
AmenNjema Mungu yu mwema asante kwa kututakia mema ubarikiwe
Vijijini huko Kolomije nyoka jambo la kawaida sana na nimeshawakanyaga mno japo nina bahati hawajawahi kuning'ata. Hata hivyo nina urafiki wa ajabu na nge na nilikuwa sipitishi mwezi bila kung'atwa. Muziki wake nao si wa mchezo hasa akikung'ata sawasawa.Mm kidogo ninshike kwenye kitasa asubuhi alikua kajivingirisha
AmenAmen Nyagei Mungu akubariki
Walikuwa akina nani?1967 - Elvis Presley na mchumba wake Priscilla Beaulieu wanaoana huko Las Vegas.
Moja kati ya maamuzi ya hovyo kuwahi kufanywa na Hleb ni kuhama kwake Arsenal.Ni Kati ya wachezeshaji bora kabisa uwanjani na pia allijuta sana kuhama arsenal baada ya kukosa no Barcelona
Asante kwa historia mkuuMoja kati ya maamuzi ya hovyo kuwahi kufanywa na Hleb ni kuhama kwake Arsenal.
Wachezaji wengi waliomzunguka Messi kwenye timu ya taifa hawampi ushirikiano wa kutosha. Hivyo zigo lote anatupiwa Messi.Ila mess kashindwa kuibeba Argentina
Kuna baadhi ya raia wa Argentina wanaamini mess ni mkatarunya na si muargentina
Werason naye utamuwezaeti anaogopa kuota
Maji yanafuata mkondoNdo babu yake Kim
Alikuwa katili ...sasa ili kumuiga kaanza kwanza kunyoa panki
Yaani mjukuu anamuiga babu na kufuara nyayo zake
......
Hakika mkuuHuku kwema. We unaendeleaje? Mungu Ametujalia kuiona siku nyingine...