Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,228
- 68,246
1967 - Elvis Presley na mchumba wake Priscilla Beaulieu wanaoana huko Las Vegas.
UnbelivableKudadadadadek hapo hujanipitisha!!!

Pamoja EngineerAsante kwa nukuu mkuu transcend
Leo Katka Historia:
1844 - Jeshi la Polisi la Hong Kong laanzishwa.
Ndio jeshi la polisi la pili kwa Ukongwe duniani.
Pia ni jeshi la polisi la kwanza barani Asia.
Na wewe pia mama mchungajiNa wanaumudu mpira,asante kwa Nukuu T wa Sakayo ,kazi yako bi njema uwe na siku njema,mei mosi njema Ubarikiwe![]()
Alafu time yao nasikia hakukuwa na off-side.Marafona nfo mfalme
Pele mviziaji tu
Goli zenyewe za mchangani
.....
1961 - Waziri Mkuu wa Cuba anatangaza kuwa Nchi hiyo ni ya Kijamaa na anafuta Uchaguzi kufanyika nchini humo.
HahahahaNzuri, mwaliko uulitakiwa utupe tangu juzi

Karibu sanaNa wewe pia mama mchungaji

1948 - Nchi ya Korea Kaskazini yaanzishwa huku Kim il Sung akiwa kiongozi wa Nchi hiyo.
Pele hakuwa na kipaji chochote labda kupiga danadana tuAlafu time yao nasikia hakukuwa na off-side.
Yaani ni mwendo wa kutupia tuu
1967 - Elvis Presley na mchumba wake Priscilla Beaulieu wanaoana huko Las Vegas.
Huku kwema. We unaendeleaje? Mungu Ametujalia kuiona siku nyingine...Morning mkuu
1999 - Mwili wa George Mallory, mpanda mlima wa Kiingereza wapatikana katika Mlima Everest ikiwa ni miaka 75 toka apotee.
1968 - Oliver Bierhoff anazaliwa.
Mshambuliaji wa zamani wa Ac Milan na timu ya taifa ya Ujerumani.
Ndio mchezaji wa kwanza kufunga goli la dhahabu toka lilipoanzishwa. Alifanya hivyo katika michuano ya Euro mwaka 1996 pale England ambapo Ujerumani ilitwaa ubingwa huo.
Mmoja kati ya wanasoka wa Kijerumani ambao hawajawahi kuchezea Bayern Munich.
Kwasasa ni meneja wa timu ya taifa ya Ujerumani.