Mwinyi_ole_mushi
JF-Expert Member
- Oct 29, 2015
- 1,636
- 4,421
KaribuAhsante mkuu
Valentina atakuwa mgeni wako kwa Leo
KaribuAhsante mkuu
Valentina atakuwa mgeni wako kwa Leo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Anachepuka
Ulikua wapiMimi mwenyewe nilipotea kama miezi miwili hivi
Tuoneshe makovu[emoji125] [emoji125] [emoji125]Ulikua wapi
Amen asante. Sana[emoji120]Bwana Yesu asifiwe Mama Mchungaji......ndio Tanzania yetu hiyo ya double standard.....huu ni mwanzo wao mwingine wa kuutafuta mlango wao Mungu aliowafungulia.....when things get tough the tough get going.....waambie sio mwisho wa maisha.....there's still hope[emoji92] [emoji93] [emoji93]
Amen tunashukuruMorning makapuku, magazeti ya leo yatawaijia hivi punde
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Mungu aingilie kati kuwanusuru wana Bukoba kwa tetemeko [emoji120]
Sana![]()
Ni hatari
AmeishasahauBaba mchungaji usiwe muoga jana tumepewa neno ya kwamba tusiogope
Asante kwa magazeti mkuu Shululu,asante kwa udhamini mkuu Shedede Mungu awabariki Mei Mosi njema[emoji120]Mpaka hapo sina la ziada tukutane tena kesho, kwa udhamini wa mnono wa mlinzi wa shunie, Shedede [emoji85] [emoji85]
Asante Nyagei, nawe piaTuwe na asubuhi njema Makapuku
Na man city je [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji118] Asenaliiiiiii[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Goodmorning sir,asante kutuwazia na kututakia mema nakutakia mei mosi njema na malengo yazidi kufanikiwa Ubarikiwe[emoji253]Good morning watu wa Mungu.....Natumai Mungu kawaamsha salama.....May mosi hiyo wandugu 1/3 ya mwaka ndo ishakata hivyo, Je malengo yako yamefika wapi???.....
Hii kitu imewachanganya sana wanasayansiTongotongo la Asubuhi![]()
Huko milimani Prague Jamhuri ya Czech wiki iliyopita kulitokea mlipuko wa volkano yenye rangi ya waridi(Pink}
Licha ya volkano hiyo kuwa na rangi ya kuvutia lakini madhara yake pengine ni zaidi ama sawa na volkano ya kawaida
Wanasayansi bado wanachunguza sababu
.....
.
AsanteTupate unbelievable fact UF kidogo
Leo tutaangalia zaidi rekodi zilizowekwa.
Njema karibuhabar kapukuz
Ulishawahi kwenda zanzibar kwa boti?Me ni mwoga kwenye majengo marefu.....yaani naweza ota hata kwa miaka 5!!!
Njema Mungu yu mwema asante kwa kututakia mema ubarikiwe[emoji120]Habarini za asubuhi Makapuku
Heri ya siku ya wafanyakazi duniani
Pia heri ya mwezi mpya.