Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,383
Ndugu yako aliona mbali. Haya mambo wakati mwingine mtu unajisahau hasa ukizingatia kuwa haijawahi kutokea operesheni ya aina hii huko nyuma. Imagine wengine wamefanya kazi miaka 25+ na leo wamekumbwa na hii dhamana. Tena nasikia hata mafao yao wanayaminya kwa sababu nayo eti ni "haramu". Mtu unakaribia kustaafu halafu hili linakutokea. Ni mtihani mkubwa sana!Ndugu yangu mmoja yeye alijionggeza, alianza kufanya biashara zake huku anaffanya kazi lakini akijua kuwa hana chake tena kazini, alijitengenezea mazingira ya kutokuwa na pressure baada ya kutumbuliwa

