shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Kuna sebho tena huko?Ulimukafu sebho!
Kuna sebho tena huko?Ulimukafu sebho!
Nzuri, mwaliko uulitakiwa utupe tangu juziHabari za asubuhi.. karibuni viwanja vya ushirika
Abee mkuu Shededemama mchungaji
Nilikuwa busy tuUlikua wapi
Asante kwa nukuu mkuu transcendNUKUU YA LEO
The first World Cup I remember was in the 1950 when I was 9 or 10 years old. My father was a soccer player, and there was a big party, and when Brazil lost to Uruguay, I saw my father crying.
Kombe la Dunia la kwanza nakumbuka ilikuwa ni mwaka 1950 nikiwa na miaka 9 au 10. Baba yangu alikuwa mwanasoka na kulikuwa na sherehe kubwa, na Brazil ilipofungwa na Uruguay nilimuona Baba yangu akilia
![]()
![]()
Hayo ni maneno yaliyopatwa kutamkwa na mwanasoka wa Brazil Edson Arantes do Nascimento almaarufu kama PELE.
Pele alizaliwa 23/10/1940 katika mji mdogo wa minas Girais na kukulia ktk jiji la Sao Paulo.
Mwaka 1999 Pele alipigiwa kura ya kuwa mchezaji bora wa karne ya 20.
Pele amefunga magoli 1281 katika michezo yote 1363 aliyocheza ktk maisha yake ya soka.
Pele anashika nafasi ya pili kwa ufungaji wa magoli katika maisha ya soka akiwa nyuma ya mbrazil mwenzie Arthur Friedenreich aliyefunga magoli 1329 katika michezo 1239.
Kuna mengi sana kuhusu pele..lakini baba yake mzazi alilia machozi baada ya Brazili kupokea kipigo cha goli 2 kwa 1 toka kwa uruguay na inakuwa mara ya kwanza uruguay kuchukua kombe hilo baada ya Vita ya pili ya dunia.
Brazil wanakunywa mpira, Brazil wanakula mpira,
Brazil wanavaa mpira,
Brazil wanaishi mpira,
Brazil wanapenda mpira.
![]()
Asante mama mchungaji, nawe pia uwe na siku njemaAsante kwa magazeti mkuu Shululu,asante kwa udhamini mkuu Shedede Mungu awabariki Mei Mosi njema![]()
Na wanaumudu mpira,asante kwa Nukuu T wa Sakayo ,kazi yako bi njema uwe na siku njema,mei mosi njema UbarikiweNUKUU YA LEO
The first World Cup I remember was in the 1950 when I was 9 or 10 years old. My father was a soccer player, and there was a big party, and when Brazil lost to Uruguay, I saw my father crying.
Kombe la Dunia la kwanza nakumbuka ilikuwa ni mwaka 1950 nikiwa na miaka 9 au 10. Baba yangu alikuwa mwanasoka na kulikuwa na sherehe kubwa, na Brazil ilipofungwa na Uruguay nilimuona Baba yangu akilia
![]()
![]()
Hayo ni maneno yaliyopatwa kutamkwa na mwanasoka wa Brazil Edson Arantes do Nascimento almaarufu kama PELE.
Pele alizaliwa 23/10/1940 katika mji mdogo wa minas Girais na kukulia ktk jiji la Sao Paulo.
Mwaka 1999 Pele alipigiwa kura ya kuwa mchezaji bora wa karne ya 20.
Pele amefunga magoli 1281 katika michezo yote 1363 aliyocheza ktk maisha yake ya soka.
Pele anashika nafasi ya pili kwa ufungaji wa magoli katika maisha ya soka akiwa nyuma ya mbrazil mwenzie Arthur Friedenreich aliyefunga magoli 1329 katika michezo 1239.
Kuna mengi sana kuhusu pele..lakini baba yake mzazi alilia machozi baada ya Brazili kupokea kipigo cha goli 2 kwa 1 toka kwa uruguay na inakuwa mara ya kwanza uruguay kuchukua kombe hilo baada ya Vita ya pili ya dunia.
Brazil wanakunywa mpira, Brazil wanakula mpira,
Brazil wanavaa mpira,
Brazil wanaishi mpira,
Brazil wanapenda mpira.
![]()

Njema,asante kwa ukaribisho ubarikiweHabari za asubuhi.. karibuni viwanja vya ushirika
Pole sana jitahidi kukemea woga si jambo zuri.Me ni mwoga kwenye majengo marefu.....yaani naweza ota hata kwa miaka 5!!!
Mamboo bibie miss you sana..Pole sana jitahidi kukemea woga si jambo zuri.
Aisee miaka mingi sana, letu hata miaka 80 tu halinaLeo Katka Historia:
1844 - Jeshi la Polisi la Hong Kong laanzishwa.
Ndio jeshi la polisi la pili kwa Ukongwe duniani.
Pia ni jeshi la polisi la kwanza barani Asia.
Hahahaaa unaelewa?Kuna sebho tena huko?
Hii kitu imewachanganya sana wanasayansi
Nemda kawasaidieHii kitu imewachanganya sana wanasayansi
Marafona nfo mfalmeNUKUU YA LEO
The first World Cup I remember was in the 1950 when I was 9 or 10 years old. My father was a soccer player, and there was a big party, and when Brazil lost to Uruguay, I saw my father crying.
Kombe la Dunia la kwanza nakumbuka ilikuwa ni mwaka 1950 nikiwa na miaka 9 au 10. Baba yangu alikuwa mwanasoka na kulikuwa na sherehe kubwa, na Brazil ilipofungwa na Uruguay nilimuona Baba yangu akilia
![]()
![]()
Hayo ni maneno yaliyopatwa kutamkwa na mwanasoka wa Brazil Edson Arantes do Nascimento almaarufu kama PELE.
Pele alizaliwa 23/10/1940 katika mji mdogo wa minas Girais na kukulia ktk jiji la Sao Paulo.
Mwaka 1999 Pele alipigiwa kura ya kuwa mchezaji bora wa karne ya 20.
Pele amefunga magoli 1281 katika michezo yote 1363 aliyocheza ktk maisha yake ya soka.
Pele anashika nafasi ya pili kwa ufungaji wa magoli katika maisha ya soka akiwa nyuma ya mbrazil mwenzie Arthur Friedenreich aliyefunga magoli 1329 katika michezo 1239.
Kuna mengi sana kuhusu pele..lakini baba yake mzazi alilia machozi baada ya Brazili kupokea kipigo cha goli 2 kwa 1 toka kwa uruguay na inakuwa mara ya kwanza uruguay kuchukua kombe hilo baada ya Vita ya pili ya dunia.
Brazil wanakunywa mpira, Brazil wanakula mpira,
Brazil wanavaa mpira,
Brazil wanaishi mpira,
Brazil wanapenda mpira.
![]()
I see,hatari tumuombe sana Mungu aepushe madharaTongotongo la Asubuhi![]()
Huko milimani Prague Jamhuri ya Czech wiki iliyopita kulitokea mlipuko wa volkano yenye rangi ya waridi(Pink}
Licha ya volkano hiyo kuwa na rangi ya kuvutia lakini madhara yake pengine ni zaidi ama sawa na volkano ya kawaida
Wanasayansi bado wanachunguza sababu
.....
.
Amen Nyagei Mungu akubarikiTuwe na asubuhi njema Makapuku