Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,369
- 12,469
Heee. Hayo ya mautamu unayasema wewe!!!!!hahhaha poa tu umefichwa kwa kheri lkn kupewa mautamu tu hongera zako sana
Sijasema mimi
Heee. Hayo ya mautamu unayasema wewe!!!!!hahhaha poa tu umefichwa kwa kheri lkn kupewa mautamu tu hongera zako sana
Amen Mama MchungajiNjema ubarikiwe
Hahaha...asante Mkuu tuko pamoja.Blessedhope asante kwa sala..
Nyagei asante kwa updates
Shululu asante kwa magazeti
Bitoz asante kwa picha
Mussolini asante kwa historia na pole manake ndio siku aliyokufa mshikaji wako B.A. mussolini
Asante wotee
naniliu ndio niniKucha hizo wewwee...
Chezea naniliu wewe![]()
! Huyo jamaa atakuwa anafanya kweli
sio kucha hizo
hahahhh umeamua ukae kimya.....
Kweli hakuna haki hapa duniani. Leo nchi yote imeparaganyika. Na bado wakafanya lile lile kwa Gaddafi. Jamaa wala hawajifunzi kutokana na makosa yao. Hata hayo mafuta waliyokuwa wanayatafuta hawajaweza kuyapata. Wameishia kuharibu nchi na kuua mamilioni ya watu bure.![]()
![]()
Neno
"Dikteta" wamelipachika Wamarekani tu....namfahamu zaidi Bikteta Ceorge W Bush
........
Mmh tetraHeee. Hayo ya mautamu unayasema wewe!!!!!
Sijasema mimi
Ila "madikteta" mara nyingi huwa na mwisho mbaya sana kihistoria na vinginevyo sijui kwa nini. Kuna documentary moja hapa ya Hitler na jinsi alivyomtumia huyu jamaa kivita ilinishangaza sana.NUKUU YA LEO
Democracy is beautiful in theory: in practice it is fallacy
Demokrasia ni nzuri katika nadharia, katika vitendo ni Uongo
![]()
Haya maneno yaliwahi kutamkwa na mwandishi, mwanasiasa na waziri Mkuu wa 27 wa Italia Bw. Benito Andre mussolini aliezaliwa 29/07/1883 na kufariki 28/04/1945 kwa kupigwa risaasi kijijini Giulino de mezzegra akiwa na mkewe Clara Petacci.
Musollini alikuwa ni kiongozi wa Partio Nazionale Fascista; PNF , chama ambacho kiliweka demokrasia pembeni na kutekeleza sera za kidikteta zilizojulikana kama II Duce.
Mussolini amepigana vita kama vita vya 1 na vya 2 vya Dunia, Vita ya Italia-Ethiopia na Uvamizi wa Itali nchini Albania.
Kiufupi mussolini hakupenda demokrasia hata kidogo na hivyo hakupenda kuwa muongo
Alisema kile alichokiamini yeye..
Lakini katika uhalisia wa ukweli hakuna demokrasia ya kweli..hata wale wanaodai kuwa na demokrasia nchini mwao ni waongo manake kuna vitu vinafanyika havihitaji demokrasia..
Penda usipende kuna vitu vitafanywa na kikundi cha watu wachache bila maamuzi yako.
![]()
![]()
![]()
Kuna mengi kuhusu mussolini lakini nitaweka nyama baadaye..
Morning wakuu.
ZipoHivi ule mradi hauna kazi za pilling..?
KK is also an intellectual. Nilihudhuria warsha yake moja na nilifurahishwa sana na uwezo wake wa kujenga hoja mpaka maprofesa wakawa wanamshangaa. First generation ya viongozi wa Afrika ambayo haitasahaulika. Angalau walikuwa na idea walichotaka kufanya na japo hawakufanikiwa lakini angalau walijaribu na malengo yao na falsafa zao za kitaifa zilikuwa wazi. Siyo kama sasa hata haijulikani kinachoendelea...Ndio yeye mkuu
MhhhhhmhhhhhHeee. Hayo ya mautamu unayasema wewe!!!!!
Sijasema mimi
Naiomba jinaIla "madikteta" mara nyingi huwa na mwisho mbaya sana kihistoria na vinginevyo sijui kwa nini. Kuna documentary moja hapa ya Hitler na jinsi alivyomtumia huyu jamaa kivita ilinishangaza sana.
.........teh nimemwamini lee sasa kuwa baba mchuchu ni ww
hahahhhh mama mchuchu umenijibu kama alivyonijibu baba mchuchu.........
hahahhhh
Hapo talaka ingehusikaTongotongo la Asubuhi![]()
Mwaka 2010 katika hospitali moja huko London Uingerrza wsnandoa Wa Kinigeria walibahatoka kupata mtoto "mweupe" mwenye macho ya blue na ngozi nyeupe km wazungu
Wanandoa hao wote ni Waafrika weusi
Ingekuwa Bongo lingeibuka timbwili mpaka basi
Asubuhi njema
.............

Kibaiolojia imeonyesha ni mtoto wao orijino kabisa na hawajabambikiwa
Ingekuwa Bongo ngumi zingerushwa "kanioneshe huyo hawara wako"
.....

Tuko pamoja shunieasante nyagei kwa ratiba