shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Mzee wa fungate wewe ni shidaHahahaha....hujaelewa nini hapo shululu
Mzee wa fungate wewe ni shidaHahahaha....hujaelewa nini hapo shululu
hayo hayo ya pipi tetraHata pipi zinayo.. sijaelewa unamaanisha yapi
Kama kuna ukweli hivi![]()
eti kuna kaukweli
Kotekote kutakuwa na madhara, kwa mama na baba wa mtoto mtarajiwa![]()
sipati picha hiki kipimo kifike bongo![]()
![]()
![]()
hahahhhh natamani lee angekuepo anipe jibu lakeKama kuna ukweli hivi
Hahaha.....sijuiIla anazeeka nini?![]()
![]()
hiki kipimo kisifike tu huku watu watauanaKotekote kutakuwa na madhara, kwa mama na baba wa mtoto mtarajiwa
Fungate lishaisha...saizi ni mwngine tu, but mi sijaoa badoMzee wa fungate wewe ni shida
nikiongea ukweli unakataa acha tu nifate miuongo yakoKuwa mkweli shunie..![]()
![]()
Si unaionaga kwa lee kila siku kwani?sileft eb niwekee nione
aisee kwahiyo unawabadili tuFungate lishaisha...saizi ni mwngine tu, but mi sijaoa bado
Acha tabia za kumissi wake za watu...siku nyingine utamisi visivyomisika![]()
![]()
niliku mic
missing you too kibumbu![]()
![]()
niliku mic
kwa lee naonaga vingi sijui nini unaisemaSi unaionaga kwa lee kila siku kwani?
KhaaaaaaAcha tabia za kumissi wake za watu...siku nyingine utamisi visivyomisika


mlinzi kipeuo cha pili