Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Ahsante kwa nyongeza shemlaliga ata azam inaonyeshwa
Ahsante kwa nyongeza shemlaliga ata azam inaonyeshwa
Blessedhope asante kwa sala..
Nyagei asante kwa updates
Shululu asante kwa magazeti
Bitoz asante kwa picha
Mussolini asante kwa historia na pole manake ndio siku aliyokufa mshikaji wako B.A. mussolini
Asante wotee

karibu tena shemAhsante kwa nyongeza shem
Aisee ! Safi sana mkuuZipo
Ndio hivyo mkuu...Ila "madikteta" mara nyingi huwa na mwisho mbaya sana kihistoria na vinginevyo sijui kwa nini. Kuna documentary moja hapa ya Hitler na jinsi alivyomtumia huyu jamaa kivita ilinishangaza sana.
Nikiweka picha yake hapa utaleft ujuenaniliu ndio ninisio kucha hizo
PamojaAsante mkuu.
Kweli hao ni watumishihahahhhh mama mchuchu umenijibu kama alivyonijibu baba mchuchu
sileft eb niwekee nioneNikiweka picha yake hapa utaleft ujue
hahahhahah shemela na ww umeona kumbe lee alikua ananiambia baba mchuchu ni mukongo nambishiaKweli hao ni watumishi
Fresh... Naona hakuna kuchokaMambo poa, vp wewe
Hahaha....acha tu shululu ...mwenyewe sioendi ila inanibidiNa wewe kwa kufichwa tu hujambo
Leo jibu umepatahahahhahah shemela na ww umeona kumbe lee alikua ananiambia baba mchuchu ni mukongo nambishia
Kama kawa kama dawaFresh... Naona hakuna kuchoka
Hata pipi zinayo.. sijaelewa unamaanisha yapiMmh tetra
Hata pipi zinayo.. sijaelewa unamaanisha yapiMmh tetra
Hahahaha....hujaelewa nini hapo shululuMhhhhhmhhhhh
Ng'ombe azeeki maini wanasemagaKama kawa kama dawa
kipindi haupo alikua anatoa neno la Mungu kila siku na mistari ha biblia alishikaLeo jibu umepata