Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Pamoja Engineer...Morning, Asante kwa kujazia nyama
Mradi wa flyover kule buguruni vipi?
Pamoja Engineer...Morning, Asante kwa kujazia nyama
Na wewe pia mama mchuchuAsante kwa nukuu mkuu T ubarikiwe,siku njema
.....teh nimemwamini lee sasa kuwa baba mchuchu ni ww
Happy born day Juan Mata![]()
![]()
![]()
Msimu uliopita aliwapiga Liverpool pale Anfield goli la kiddo
Tukutane jioni kwenye kumi kubwa
Shukrani Mkuu
.....
Huwezi amini sijapita siku nyingi mitaa hiyo, ila walisimamisha ujenzi kupisha mvuaPamoja Engineer...
Mradi wa flyover kule buguruni vipi?
Blessedhope asante kwa sala..
Hivi ule mradi hauna kazi za pilling..?Huwezi amini sijapita siku nyingi mitaa hiyo, ila walisimamisha ujenzi kupisha mvua
Karibu sanaBlessedhope asante kwa sala..
Nyagei asante kwa updates
Shululu asante kwa magazeti
Bitoz asante kwa picha
Mussolini asante kwa historia na pole manake ndio siku aliyokufa mshikaji wako B.A. mussolini
Asante wotee
Bwana Yesu asifiwe mkuu za uzimaMama Mchungaji Bwana Yesu asifiwe

AsanteTayari mama mchungaji
Njema ubarikiweHabari ja humu?
Hahaha an age of difference

Nilienda shamba toka alfajiri nikarudi nimechoka sanaJana uliadimika sana
Morning mkuuMorning mama mtumishi
Amen dearnamshkuru Mungu mama mchuchu hofu kwako tu
Hii itakuwa warusi chini ya shirika lao la kijasusi la KGB ndio walihusika.
Hakukuwa na mkono wa CIA?![]()
Maana wanajua fitna
.....
Ndio yeye mkuu![]()
![]()
Ndio baba wa Taifa la Zambia?
...
Siku hizi wanavaa sana UsalamaNi suti ambazo hazivaliwi na tai mara nyingi hazina kola
Nyerere alizipenda sana![]()
Pia uwanja wa Yanga pale Jangwani ni jina lake
Alikuwa mpenda michezo ndio maana kikosi cha Zambia kilichopata ajali mbaya ya ndege kilokuwa kikitwa KK Eleven
....
AmenAsante mussolin kwa historia na Bitoz kwa picha
Asante mkuu.NUKUU YA LEO
Democracy is beautiful in theory: in practice it is fallacy
Demokrasia ni nzuri katika nadharia, katika vitendo ni Uongo
![]()
Haya maneno yaliwahi kutamkwa na mwandishi, mwanasiasa na waziri Mkuu wa 27 wa Italia Bw. Benito Andre mussolini aliezaliwa 29/07/1883 na kufariki 28/04/1945 kwa kupigwa risaasi kijijini Giulino de mezzegra akiwa na mkewe Clara Petacci.
Musollini alikuwa ni kiongozi wa Partio Nazionale Fascista; PNF , chama ambacho kiliweka demokrasia pembeni na kutekeleza sera za kidikteta zilizojulikana kama II Duce.
Mussolini amepigana vita kama vita vya 1 na vya 2 vya Dunia, Vita ya Italia-Ethiopia na Uvamizi wa Itali nchini Albania.
Kiufupi mussolini hakupenda demokrasia hata kidogo na hivyo hakupenda kuwa muongo
Alisema kile alichokiamini yeye..
Lakini katika uhalisia wa ukweli hakuna demokrasia ya kweli..hata wale wanaodai kuwa na demokrasia nchini mwao ni waongo manake kuna vitu vinafanyika havihitaji demokrasia..
Penda usipende kuna vitu vitafanywa na kikundi cha watu wachache bila maamuzi yako.
![]()
![]()
![]()
Kuna mengi kuhusu mussolini lakini nitaweka nyama baadaye..
Morning wakuu.