Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kibaiolojia imeonyesha ni mtoto wao orijino kabisa na hawajabambikiwa
Ingekuwa Bongo ngumi zingerushwa "kanioneshe huyo hawara wako"
.....
Yanatokea sana,hata kama ni wake,wanaume wengi hukataa watoto kabisa,ila Mungu huwalupia hapahapa duniani,damuyako ni damu yako .

Mara nyingi wale watoto wanaowakumbatia na kufanya wakatae watoto wengine wanakua si msaada kabisa mpaka mzazi anajuta.wakati ni too late

Tumuombe Mungu atusaidie kuwapokea watoto Mungu anaotupa sawa,Mungu ana makusudi kwa kila mtoto anayezaliwa na lazima Mpango wa Mungu utatimia.

Nimewafurahia sana wawili hawa na hakika Mungu atawabariki.
 
Belgium playoffs
6784a826479d06ba732deb4b3984f7af.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom