UlipoteaSalama mkuu
Maandamano GC
Shukrani mkuuView attachment 502007Mpaka hapo Sina la ziada kwenye magazeti ya leo kwa udhamini mnono wa Nyagei
Ingekuwa hatari sanaTongotongo la Asubuhi![]()
Mwaka 2010 katika hospitali moja huko London Uingerrza wsnandoa Wa Kinigeria walibahatoka kupata mtoto "mweupe" mwenye macho ya blue na ngozi nyeupe km wazungu
Wanandoa hao wote ni Waafrika mweusi
Ingekuwa Bongo lingeibuka timbwili mpaka basi
Asubuhi njema
.............
Pamoja mzee wa kambaleMaandamano GC
Mkitolewa tu FA Cup basi hamtapanda ndege kuwakilisha kimataifa km kawaida yenu mtabaki mchangani maana ubingwa wa ligi kuna dalili za kufeli
Shukrani kwa magazeti
.....
Shukrani mkuu
mkuu musollinKibaiolojia imeonyesha ni mtoto wao orijino kabisa na hawajabambikiwaIngekuwa hatari sana
Wabongo wanakataa mimba sembuse mtoto, na wengi wao wanaokataa watoto /mimba baadaye mtoto hufanana sana na baba mtuKibaiolojia imeonyesha ni mtoto wao orijino kabisa na hawajabambikiwa
Ingekuwa Bongo ngumi zingerushwa "kanioneshe huyo hawara wako"
.....