Makapuku Forum

Makapuku Forum

Wakati tukiwa bado na pilikapilika za kinachoelezwa kubana matumizi, LUGUMI Enterprises iliyopewa mkataba wa kifisadi na kulipwa Tshs bilioni 34 kwa ajili ya tenda ya kuchukua alama za vidole kwenye vituo vya polisi nchini bila kufanya chochote, Tshs bilioni tano zilitumika kama mafunzo pekee. Ambapo waliopewa mafunzo hayo ni watu watano (5) huku baadhi yao wakiwa ni watendaji wakuu wa wizara ya mambo ya ndani na taasisi zake.
Aidha inadaiwa kuwa mafunzo hayo yalifanyika moja ya mataifa ya barani Ulaya huku kukiwa na ukiukwaji mkubwa wa matumizi.
Swali la kujiuliza ni kwanini hayo yafanyike huku kukiwa na ukimya kutoka serikalini?
Uchunguzi pia unabaini kuwa LUGUMI Enterprises ilipewa tenda huku ikishinikizwa kuwa na ubia na kampuni ya Infosys inayomilikiwa na waziri Charles Kitwanga pamoja na mkurugenzi mkuu mpya wa NIDA. Kwanini hayo yafanyike?
Tuelezwe kuwa Infosys na LUGUMI Enterprises waligawana asilimia ngapi kila mmoja kwenye mradi kinyume cha taratibu?
Mafunzo ya wastani wa mtu mmoja kugharamiwa Tshs bilioni moja ni ya aina gani?
Ni kwanini mkataba huo hauwasilishwi PAC kama inavyotakiwa? Nini hasa kinafichwa ufisadi ufisadi.
Nikisomaga habari kama hizi naharibu mood.....alafu kuna mtu anajidai ananyoosha inji
 
b9bba91f29fbaf8d7b7e876e75568dcb.jpg
9b0c77f350c71cec0fa454fd34ad51d0.jpg
Kuna mtakatifu mweusi?
Au ubaguzi hadi makanisani
.....
[ emoji23]
mimi naona utakuwa ubaguzi wa rangi,
 
*Mambo mazuri tushirikishane* INTERNATIONAL SCHOOL OF TANGANYIKA

FEES SCHEDULE 2016-2017 SCHOOL YEAR

Early childhood 1-2 - USD 17,300= *38,060,000/-*

Kindergarten - grade 5 - USD 19,200= *42,240,000/-*

Grades 6-8- USD 22,300 = *49,060,000/-*

Grades 9&10- USD 23,700= *52,140,000/-*

Grades 11&12-USD 28,600= *62,920,000/-*

APPLY NOW

P.O BOX 2651,
DSM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom