Makapuku Forum

Makapuku Forum

Leo Katika Historia:

1927 - Jeshi la Polisi la Chile laanzishwa.
038b5cd47c51525dffc265ff84384402.jpg
981b12c3938a1ade16a80f8d709d420d.jpg
 
1993 - Ndege iliyokuwa imebeba timu ya taifa ya Zambia yaanguka huko katika pwani ya Gabon na kuua wachezaji wote pamoja na viongozi.

Walikuwa wanaelekea Senegal kucheza mechi ya kufuzu kombe la Dunia la mwaka 1994.

Chanzo cha ajali hiyo ni injini ya ndege waliyokuwa wamepanda kushindwa kufanya kazi na kuharibika. Ikimbukwe walikuwa wamepanda ndege ya jeshi.
 
1976 - Walter Pandiani anazaliwa.

Staa wa zamani wa Derpotivo la Coruna na timu ya taifa ya Uruguay.

Alitengeneza jina zaidi pale alpokuwa Derpotivo la Coruna almaarufu Super Depo, ambayo ilisheheni nyota kama Diego Tristan, Roy Makaay na wengineo ambapo moja ya mafanikio yao ni kumtoa Bingwa mtetezi Ac Milan katika Uefa mara baada ya mechi ya kwanza Depo kufungwa 4-1 ugenini kabla ya kuwafunga mabingwa hao 4-0 nyumbani.
 
1993 - Ndege iliyokuwa imebeba timu ya taifa ya Zambia yaanguka huko katika pwani ya Gabon na kuua wachezaji wote pamoja na viongozi.

Walikuwa wanaelekea Senegal kucheza mechi ya kufuzu kombe la Dunia la mwaka 1994.

Chanzo cha ajali hiyo ni injini ya ndege waliyokuwa wamepanda kushindwa kufanya kazi na kuharibika. Ikimbukwe walikuwa wamepanda ndege ya jeshi.
Miaka 17 baadaye wanachukua ubingwa wa mataifa ya Africa kwenye ardhi ya Gabon
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom