Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
NUKUU YA LEO
I just find myself happy with simple things. Appreciating the blessings God gave me
Huwa najikuta nina furaha kwa vitu kawaida tuu. Namshukuru Mungu kwa baraka alizonipa
Hayo maneno ya yaliwa kutamkwa na mwanamziki na mwigizaji wa kimarekani Earl Simmons kwa jina maarufu Dark in Max ( DMX) .
DMX alizaliwa 18/12/1970 jijini New York, nchini marekani.
DMX amefanya kazi nyingi kama Rappa wa Hiphop , moja wapo ni Party Up in Here, God give me a sign.
Lakini pia amecheza movie kama Last Hour, Romeo must Die, Belly na Exit wounds .
Dmx ameandika Autobiography aliyoiita E.A.R.L lakini pia amefanya series ktk kipindi cha The realite Television.
DMX ni star mwenye criminal records kubwa sana. Zikiwamo za Robbery, child supports na drug abuse.
Dmx ana watoto 15 kwa sasa hivi.
Naamini kila binadamu anatamani kuwa na furaha, Furaha ni kitu cha kipekee ambacho kila mtu anahitaji..
Muwe na FURAHA siku zote wakuu.
Chini kuna Hot song yake..hapo