Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
1989 - Mapacha Lars Bender wa Bayer Leverkusen na Sven Bender wa Borussia Dortmund wanazaliwa.
Ni Wajerumani ambao wote wanacheza kama viungo wakabaji katika timu zao.
Yupi fundi
...
1989 - Mapacha Lars Bender wa Bayer Leverkusen na Sven Bender wa Borussia Dortmund wanazaliwa.
Ni Wajerumani ambao wote wanacheza kama viungo wakabaji katika timu zao.
Mwambie Lee ajitahidi awe kama Dmx..Dmx ana watto 15 aisee nilikua sijui
asante shemela kwa nukuu ubarikiwe
Morning..Goodmorning wadau
R.I.P Kwame Nkrumah1972 - Kwame Nkrumah anafariki Dunia.
Alikuwa ni Rais wa kwanza wa Ghana.
Ahsante mkuu Mussolin5 kwa historiaLeo Katika Historia:
Niwatakie siku njema.
1972 - Kwame Nkrumah anafariki Dunia.
Alikuwa ni Rais wa kwanza wa Ghana.
hahahh anza ww kwanza shemelaMwambie Lee ajitahidi awe kama Dmx..
15...
Alishasoma alama za nyakatiKumbe alitaka kutoloka
Solomon Vandy hatari sana huyo mtu![]()
![]()
Huyu kipara katisha sana
.....
Unazo info kuihusu hiyo kampuni?Lugumi ni kampuni
Yap chini ya Kocha Herve Renard na nahodha Katongo.Miaka 17 baadaye wanachukua ubingwa wa mataifa ya Africa kwenye ardhi ya Gabon
Natumai huyo atadumu bila bughudhaOscar Kambona namuona hapo
Inaaaminika yeye akiwa kama Mshauri wa Rais wa masuala ya mambo ya ndani, alisuka mpango mzima wa Watergate.
alihusikaje?![]()
....
NUKUU YA LEO
I just find myself happy with simple things. Appreciating the blessings God gave me
![]()
Huwa najikuta nina furaha kwa vitu kawaida tuu. Namshukuru Mungu kwa baraka alizonipa
Hayo maneno ya yaliwa kutamkwa na mwanamziki na mwigizaji wa kimarekani Earl Simmons kwa jina maarufu Dark in Max ( DMX) .
![]()
![]()
DMX alizaliwa 18/12/1970 jijini New York, nchini marekani.
DMX amefanya kazi nyingi kama Rappa wa Hiphop , moja wapo ni Party Up in Here, God give me a sign.
Lakini pia amecheza movie kama Last Hour, Romeo must Die, Belly na Exit wounds .
Dmx ameandika Autobiography aliyoiita E.A.R.L lakini pia amefanya series ktk kipindi cha The realite Television.
DMX ni star mwenye criminal records kubwa sana. Zikiwamo za Robbery, child supports na drug abuse.
Dmx ana watoto 15 kwa sasa hivi.
Naamini kila binadamu anatamani kuwa na furaha, Furaha ni kitu cha kipekee ambacho kila mtu anahitaji..
Muwe na FURAHA siku zote wakuu.
Chini kuna Hot song yake..hapo
Kalusha Bwalya hakusafiri na timu kwa kuwa alikuwa anatokea Ulaya hivyo yeye alienda moja kwa moka Senegal kwaajili ya Mechi.Ilifahamika km KK Eleven(Kenneth Kaunda XI)![]()
Nasikia Kalusha Bwalya aliponea chupuchupu sababu hakusafiri![]()
....
1989 - Konosuke Matsushita anafariki Dunia.
Alikuwa ni mwanzilishi wa Panasonic.
Alitungiwa kitabu cha fasihi kilichojulikana kama " The beautyful ones are not yet born " na mwandishi nguli wa fasihi Ayi kwei Armah ambaye alikuwa anakosoa kuhusu utawala wa Nkrumah uliojaa Rushwa.RIP Nkrumah
Head MorphologyAmefanana sana na King Crazy GK
yeye ni binadamu pia lakini, ana shida kama watu wenginehuyo mke wa kigogo aibu yake
Wakati tukiwa bado na pilikapilika za kinachoelezwa kubana matumizi, LUGUMI Enterprises iliyopewa mkataba wa kifisadi na kulipwa Tshs bilioni 34 kwa ajili ya tenda ya kuchukua alama za vidole kwenye vituo vya polisi nchini bila kufanya chochote, Tshs bilioni tano zilitumika kama mafunzo pekee. Ambapo waliopewa mafunzo hayo ni watu watano (5) huku baadhi yao wakiwa ni watendaji wakuu wa wizara ya mambo ya ndani na taasisi zake.Unazo info kuihusu hiyo kampuni?