Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,224
- 39,937
Okyeehalaf muchokozi

Okyeehalaf muchokozi

Hapo sasa, harafu tunalalamika kwa nini wahindi na wachina wanajazana k,kooSasa hivi Waafrika tumepunguza kasi ya kuzaliana wakati Wahindi + Wachina wapo bilioni 2
Waafrika tupo bilioni 1....kwanini wasijae K/koo
....
Sawa sawa kabisaTukiwa wengi wanatuogopa, Tukiwa wachache wanatucontroll
Sikujua km lilikuwa dongo kwa NkrumahAlitungiwa kitabu cha fasihi kilichojulikana kama " The beautyful ones are not yet born " na mwandishi nguli wa fasihi Ayi kwei Armah ambaye alikuwa anakosoa kuhusu utawala wa Nkrumah uliojaa Rushwa.
Unaambiwa kuna siku nilikuta kijiji fulani kuna machotara wa Kichina ...yaani wanasambaza tu mbegu zaoHapo sasa, harafu tunalalamika kwa nini wahindi na wachina wanajazana k,koo
Harafu wanachina wanawachukua hao watoto wanaenda kusoma China, wakimaliza tu wanarudi bongoUnaambiwa kuna siku nilikuta kijiji fulani kuna machotara wa Kichina ...yaani wanasambaza tu mbegu zao
.....
hahahh shemela hapana sitaki mmKazana shemela uivunje hiyo record![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mimi nafikiria kukuteka.....lakini sitokupeleka ununio usihofu.shemela ukitaja ununio beach watu tunawaza kutekwa tu
Mmh uniteke tena ili iwejeMimi nafikiria kukuteka.....lakini sitokupeleka ununio usihofu.
Bandika banduaAtakuwa kwa maduu tofauti.....umesikia Uganda kuna Mama ana watoto 38!!!!View attachment 501718
Ha ha ha ha.... Usiogope... Maani kila siku utaniambia nikuteke tena!Mmh uniteke tena ili iweje
Ni mwendo wa twins kwa kwenda mbeleRekodi ya Dunia![]()
Halafu ana miaka 37 tu so the game is still.....
Ni mazuri haswaa*Mambo mazuri tushirikishane*
INTERNATIONAL SCHOOL OF TANGANYIKA
FEES SCHEDULE 2016-2017 SCHOOL YEAR
Early childhood 1-2 - USD 17,300= *38,060,000/-*
Kindergarten - grade 5 - USD 19,200= *42,240,000/-*
Grades 6-8- USD 22,300 = *49,060,000/-*
Grades 9&10- USD 23,700= *52,140,000/-*
Grades 11&12-USD 28,600= *62,920,000/-*
APPLY NOW
P.O BOX 2651,
DSM
hapana kwakweli hamna mtu anayefurahia kutekwaHa ha ha ha.... Usiogope... Maani kila siku utaniambia nikuteke tena!
Bila kusahau KONOIKEUnaambiwa kuna siku nilikuta kijiji fulani kuna machotara wa Kichina ...yaani wanasambaza tu mbegu zao
.....