Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Waogeleaji..mmh waogeleaji ndio wakina nani shemela mm hata wa5 hawafiki


Waogeleaji..mmh waogeleaji ndio wakina nani shemela mm hata wa5 hawafiki


Pamoja sana mkuu Obeshululu , asante kwa magazeti mdau.
Asubuhi na siku njema Makapuku
Mussolin5 asante kwa historia
Bitoz asante kwa picha kwa tusiopenda kusoma historia zisizo na picha.
BlessedHope asante kwa kudhamini magazeti. Naona shululu anahitaji kuonana na mimi kuhusu haya maudhamini
hahahhhah we mtu hapana aisee kumbe ndio haoWaogeleaji..![]()
teh teh teh tehWaogeleaji..![]()
guudkwetu kupo poa kabisa tunamshkuru Mungu
Katisha sanahahahhhah we mtu hapana aisee kumbe ndio hao
mkuu kwema??Pamoja sana mkuu Obe
Weka pichaTuanze siku kwa kwenda shambani
![]()
![]()
![]()
....
Itakuwa ni Dongobesh lazima1945 - Dikteta Benito Mussolini wa Italy anakamatwa huko Dongo mara baada ya jaribio lake la kutoroka kushindwa.

Kwema mkuu, vp pande hizomkuu kwema??
hahahahh yaan nilikua sijui alikua anamanisha nini kuhusu waogeleajiKatisha sana
Wakati mwingine lazima uwe na lugha ambazo unaweza kumsema mtu wala asikuelewe..hahahahh yaan nilikua sijui alikua anamanisha nini kuhusu waogeleaji
yaan uliniacha njia panda ujue nilikua nahisi waogeleaji labda lee ataleta wengine wa nje hahahahWakati mwingine lazima uwe na lugha ambazo unaweza kumsema mtu wala asikuelewe..
Nimekupata shem mujarabu kabisaWakati tukiwa bado na pilikapilika za kinachoelezwa kubana matumizi, LUGUMI Enterprises iliyopewa mkataba wa kifisadi na kulipwa Tshs bilioni 34 kwa ajili ya tenda ya kuchukua alama za vidole kwenye vituo vya polisi nchini bila kufanya chochote, Tshs bilioni tano zilitumika kama mafunzo pekee. Ambapo waliopewa mafunzo hayo ni watu watano (5) huku baadhi yao wakiwa ni watendaji wakuu wa wizara ya mambo ya ndani na taasisi zake.
Aidha inadaiwa kuwa mafunzo hayo yalifanyika moja ya mataifa ya barani Ulaya huku kukiwa na ukiukwaji mkubwa wa matumizi.
Swali la kujiuliza ni kwanini hayo yafanyike huku kukiwa na ukimya kutoka serikalini?
Uchunguzi pia unabaini kuwa LUGUMI Enterprises ilipewa tenda huku ikishinikizwa kuwa na ubia na kampuni ya Infosys inayomilikiwa na waziri Charles Kitwanga pamoja na mkurugenzi mkuu mpya wa NIDA. Kwanini hayo yafanyike?
Tuelezwe kuwa Infosys na LUGUMI Enterprises waligawana asilimia ngapi kila mmoja kwenye mradi kinyume cha taratibu?
Mafunzo ya wastani wa mtu mmoja kugharamiwa Tshs bilioni moja ni ya aina gani?
Ni kwanini mkataba huo hauwasilishwi PAC kama inavyotakiwa? Nini hasa kinafichwa ufisadi ufisadi.
Ahahahah asante mkuu

karibu sana shemela kingine ukumbuke huyo ni msukuma anaishi mwanza na akitembea bara barani anakua na msafara wa magari kama n kiongozi wa nchiNimekupata shem mujarabu kabisa
Nimeunga unga matukio na sasa nimepata jawabu la kwanini Lugumi?
Salaleee kweli kuna ufisadi mkubwa hata kama ni maendeleo hayapo hivyokaribu sana shemela kingine ukumbuke huyo ni msukuma anaishi mwanza na akitembea bara barani anakua na msafara wa magari kama n kiongozi wa nchi
ni tajiri sana naskia alikuaga fundi viatu tu
Shoe shinekaribu sana shemela kingine ukumbuke huyo ni msukuma anaishi mwanza na akitembea bara barani anakua na msafara wa magari kama n kiongozi wa nchi
ni tajiri sana naskia alikuaga fundi viatu tu
huku kwema mkuuKwema mkuu, vp pande hizo


















































































































































































































































Mchaka Mchaka Chinjaaaa 

















































































































































































































































Mchaka Mchaka Chinjaaaa 

















































































































































































































































