Makapuku Forum

Makapuku Forum

1dff7ba78f1ed6102c903d6a1a4394b1.jpg
happy birthday to him
 
TOP TEN
Wakuu sioni sababu ya kusubiri giza liingie maana leo ratiba ngumu pia kuna Manchester Derby japo ni saa 4 usiku

Sasa leo nawaletea wanyama wenye sumu kali zaidi duniani...ikumbukwe tu hata sisimizi ni mnyama
Karibuni
........
 
10/Puffer Fish
c38f8b0d793a77de72caf2731b054801.jpg

Hili lisamaki km linavyoonekana lina sura baya na sumu yake ndo ivoivo
Wajapan wanamuita Fugu wakati Wakorea wanamwita bok uh
Ana sumu kwenye ngozi na viuongo zingine
Sumu yake inachukuu masaa 4 hadi 24 kuua mtu
........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom